-
Ulimwengu wa Michezo, Feb 27
Feb 27, 2024 09:47Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri katika muda wa siku saba zilizopita kutoka sehemu mbali duniani.....
-
Ulimwengu wa Michezo, Februari 19
Feb 19, 2024 07:05Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri katika kona mbalimbali za dunia ndani ya siku saba zilizopita…
-
Ulimwengu wa Spoti, Februari 12
Feb 12, 2024 07:33Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote uliopo. Karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio yaliyotikisa viwanja mbalimbali, kitaifa, kieneo na kimataifa.
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 29
Jan 29, 2024 06:27Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio makubwa yaliyoshuhudiwa viwanjani katika pembe mbali mbali za dunia ndani ya siku saba zilizopita.....
-
Ripoti: Israel imeua makumi ya wanariadha wa Palestina tangu Oktoba 7
Dec 10, 2023 02:55Israel imeua shahidi makumi ya wanariadha na wamamichezo wa Palestina tangu utawala huo wa Kizayuni uanzishe mashambulizi ya kutisha dhidi ya Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7.
-
Persepolis yapoteza mechi yake ya kwanza Ligi ya Klabu Bingwa Asia
Sep 20, 2023 14:08Mechi za raundi ya 1 ya Ligi ya Klabu Bingwa barani Asia zilifanyika jana Jumanne.
-
Uliwengu wa Michezo, Sep 18
Sep 18, 2023 10:20Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Iran yaitandika Angola 4-0 katika Fifa Day
Sep 13, 2023 04:16Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitandika timu ya soka ya taifa ya Angola mabao 4 kwa sifuri katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika dimba la Azadi mjini Tehran.
-
Mabinti wa Iran watwaa ubingwa wa Asia wa mchezo wa Taekwondo
Sep 05, 2023 07:00Duru ya 12 ya Mashindano ya Vijana ya Taekwondo nchini Lebanon ilimalizika Jumatatu kwa timu ya mabinti ya Iran kutwaa taji la ubingwa wa Asia.
-
Arsenal yaigaragaza Manchester United 3-1
Sep 04, 2023 04:45Timu ya soka ya Arsenal ya Uingereza jana iliendeleza matokeo mazuri ya msimu huu wa Ligi Kuu ya EPL baada ya kuwatandika watani wao wa jadi Manchester United mabao 3 kwa moja la kufutia machozi.