-
Persepolis yapoteza mechi yake ya kwanza Ligi ya Klabu Bingwa Asia
Sep 20, 2023 14:08Mechi za raundi ya 1 ya Ligi ya Klabu Bingwa barani Asia zilifanyika jana Jumanne.
-
Uliwengu wa Michezo, Sep 18
Sep 18, 2023 10:20Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Iran yaitandika Angola 4-0 katika Fifa Day
Sep 13, 2023 04:16Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitandika timu ya soka ya taifa ya Angola mabao 4 kwa sifuri katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika dimba la Azadi mjini Tehran.
-
Mabinti wa Iran watwaa ubingwa wa Asia wa mchezo wa Taekwondo
Sep 05, 2023 07:00Duru ya 12 ya Mashindano ya Vijana ya Taekwondo nchini Lebanon ilimalizika Jumatatu kwa timu ya mabinti ya Iran kutwaa taji la ubingwa wa Asia.
-
Arsenal yaigaragaza Manchester United 3-1
Sep 04, 2023 04:45Timu ya soka ya Arsenal ya Uingereza jana iliendeleza matokeo mazuri ya msimu huu wa Ligi Kuu ya EPL baada ya kuwatandika watani wao wa jadi Manchester United mabao 3 kwa moja la kufutia machozi.
-
Manchester City yaigaragaza Real Madrid na kupiga hodi fainali Klabu Bingwa Ulaya
May 18, 2023 11:02Timu ya soka ya Manchester City ya Uingerezi imefanya vyema kwa kiwango cha hali ya juu na kuwazidi nguvu mabingwa Real Madrid ya Uhispania katika mchezo wa marudio wa nusu ya Klabu Bingwa barani Ulaya.
-
Yanga yapaisha soka la Tanzania Afrika baada ya kutinga fainali
May 18, 2023 10:34Baada ya miongo mitatu, klabu ya Yanga imekuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kutinga fainali ya mashindano makubwa ya vilabu barani Afrika.
-
Morocco yawashtaki waamuzi wa mechi ya nusu fainali Kombe la Dunia, yasema waliipendelea Ufaransa
Dec 16, 2022 08:01Shirikisho la Soka la Morocco limewasilisha mashtaka dhidi ya mwamumuzi wa mechi ya nusu fainali kati ya timu ya taifa ya nchi hiyo na Ufaransa katika mashindano ya Kombe la Dunia Qatar 2022.
-
Shirikisho la Soka la Marekani lasalimu amri mkabala wa Iran
Nov 28, 2022 07:02Shirikisho la Soka la Marekani limelazimika kuondoa bendera ya Iran isiyo na nembo halisi ya Jamhuri ya Kiislamu kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii, na kuweka iliyo sahihi, kufuatia malalamiko ya Tehran.
-
Iran yalaani jaribio la kuiondoa timu yake ya soka katika fainali za Kombe la Dunia
Oct 21, 2022 11:33Shirikisho la Soka la Iran limekosoa vikali jaribio la kuiengua timu ya taifa ya kandanda ya Jamhuri ya Kiislamu katika michuano ya Kombe la Dunia itakayoanza kutimua mavumbi mwezi ujao wa Novemba nchini Qatar.