-
Mnyanyua vyuma Muirani avunja rekodi mara tatu, apata dhahabu Paralympiki Rio
Sep 14, 2016 23:02Muirani mnyanyua vyuma katika uzani wa juu zaidi amevunja rekodi tatu za dunia na kupata medali ya dhahabu katika Michezo ya Olyimpiki ya walemavu- Paralympiki-huko Rio de Janeiro, Brazil.
-
Spoti, Agosti 14
Aug 15, 2016 03:31Hujambo mpenzi msikilizaji na haswa shabiki wa masuala ya spoti na karibu nikupashe kuhusu viwanja na wachezaji ndani ya siku saba zilizopita na haswa habari kutoka Brazil kunakoendelea Olimpiki ya Rio….….karibu……..
-
Muirani ashinda dhahabu Rio na kuvunja rekodi
Aug 13, 2016 03:48Bingwa wa mchezo wa kunyanyua uzani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelishindia taifa hili medali ya kwanza ya dhahabu sambamba na kuvunja rekodi ya dunia katika mashindano ya Olimpiki ya Rio yanayoendelea nchini Brazil.
-
Ulimwengu wa Michezo, Agosti 8
Aug 08, 2016 03:41Kwa matukio kemkem ya spoti yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita yakiwemo mashindano ya Olimpiki ya Rio..........
-
Spoti, Agosti 1
Aug 01, 2016 01:38Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu katika dakika hizi chache za kukupasha matukio kemkem ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita hapa nchini na katika sehemu mbalimbali ya dunia. Nakusihi usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi, karibu…………………
-
Matatizo yanayotokana na kutojishughulisha na michezo yameyagharimu mataifa mabilioni ya dola
Jul 29, 2016 00:06Watafiti wa masuala ya afya na tiba wamesema matatizo ya afya yaliyosababishwa na watu kutojishughulisha na harakati za michezo katika mwaka 2013 yameyagharimu mataifa dola zipatazo bilioni 67.5.
-
Ureno yaisasambua Ufaransa na kutwaa Kombe la Yuro 2016
Jul 11, 2016 03:14Ahlan wasahlan wamarhaba mpenzi msikilizaji wa Radio Tehran na hususan ashiki wa spoti natumai huna neno. Baada ya kupezana kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na kupumzishwa kipindi hiki cha Ulimwengu wa Michezo ili kupisha vipindi na mawaidha ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani, nakukaribisha kwa moyo mkunjufu nikupashe yaliyojiri viwanjani ndani ya siku saba zilizopita. Nakusihi tuandamane sote hadi tamati ya kipindi.
-
Ureno yaibamiza Ufaransa na kutwaa Kombe la Yuro 2016
Jul 10, 2016 23:12Timu ya taifa ya Ureno imefuta uteja wa takriban miongo 4 dhidi ya Ufaransa kwa kuisasambua bao 1-0 katika mchuano wa fainali ya Kombe la Yuro mwaka huu 2016 mjini Paris.
-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 30
May 30, 2016 01:30Real Madrid wakishangilia baada ya kutwaa Kombe la UEFA
-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 23
May 23, 2016 01:07Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyotawala nyuga za michezo kote duniani ndani ya siku saba zilizopita.