-
Basi jingine la watalii lashambuliwa karibu na Mapiramidi ya Giza, Misri
May 19, 2019 09:56Watu 16 wamejeruhiwa katika shambulizi la bomu lililolenga basi la watalii karibu na Mapiramidi ya Giza, eneo ambalo ni kivutio kikuu cha watalii, nje kidogo ya mji mkuu wa Misri, Cairo.
-
Makumi ya magaidi wauawa na jeshi la Misri Peninsula ya Sinai
May 16, 2019 22:02Jeshi la Misri limeangamiza magaidi 47 wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh katika operesheni ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Jumanne, 30 Aprili, 2019
Apr 29, 2019 23:39Leo ni Jumanne tarehe 24 Sha'aban 1440 Hijria mwafaka na tarehe 30 Aprili 2019 Miladia.
-
Katiba mpya ya Misri na mustakabali wa nchi hiyo
Apr 24, 2019 21:51Asilimia 88.8 ya wananchi wa Misri walioshiriki katika kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba ya nmchi hiyo wamepiga kura ya ndiyo na kwa muktadha huo, Rais Abdulfattah as-Sisi wa nchi hiyo anaweza kuendelea kutawala hadi mwaka 2030.
-
Kura ya maoni kuhusu katiba ya Misri yapitishwa kwa asilimia 88
Apr 24, 2019 03:20Kura ya maoni ambayo imekuwa ikifanyika nchini Misri tokea tarehe 20 Aprili ilikamilika Jumatatu usiku ambapo Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo imetangaza kwamba ushiriki wa wananchi ulikuwa wa asilimia 44.33.
-
Taasisi za Kiislamu za Ufaransa: Imarati na Misri zinawapaka matope Waislamu
Apr 22, 2019 22:51Umoja wa Taasisi za Kiislamu za Ufaransa umesema kuwa, vitendo vya Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri vinaupaka matope Uislamu duniani na kupelekea kuongezeka mashambulizi dhidi ya Waislamu barani Ulaya.
-
Wananchi wa Misri wapiga kura 'kurefusha uongozi wa Sisi'
Apr 20, 2019 08:41Wananchi wa Misri hii leo wameelekea katika masanduku ya kupigia kura kushiriki kura ya maoni, yenye azma ya kuondoa kikomo cha muhula wa rais, hatua ambayo huenda ikamruhusu Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo kugombea zaidi ya mihula miwili inayoruhusiwa na katiba.
-
Misri yatangaza tarehe ya kura ya maoni ya kurefusha uongozi wa Sisi
Apr 17, 2019 23:16Tume ya Uchaguzi ya Misri imetangaza tarehe ya kura ya maoni yenye azma ya kuondoa kikomo cha muhula wa rais, hatua ambayo huenda ikamruhusu Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo kugombea zaidi ya mihula miwili inayoruhusiwa na katiba.
-
Misri yaunga mkono mashambulizi ya vikosi vya Haftar nchini Libya
Apr 15, 2019 03:32Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi ametangaza kuwa anaunga mkono mashambulizi yanayofaywa na vikosi vya Jenerali Khalifa Haftar yenye lengo la kuudhibiti mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Zaidi ya watu 2000 wahukumiwa kifo nchini Misri
Apr 14, 2019 12:23Mahakama za Misri zimetoa adhabu ya kifo kwa watu elfu mbili na 159 nchini humo.