-
Magaidi sita waangamizwa na maafisa usalama kusini mwa Misri
Jan 13, 2019 04:20Wanachama sita wa genge moja la kigaidi wameuawa katika operesheni ya maafisa usalama huko kusini mwa Misri.
-
Misri kuanzisha kivuko cha kibiashara kati yake na Ghaza
Jan 12, 2019 23:29Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametangaza habari ya kuanzishwa kivuko cha kibiashara katika mpaka wa Ukanda wa Ghaza na Misri.
-
Amnesty: Ukandamizaji umefikia kileleni Misri katika utawala wa al Sisi
Jan 05, 2019 11:49Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeripoti kuwa, ukandamizaji wa haki ya kujieleza umefikia kileleni katika kipindi cha utawala wa Rais wa sasa wa Misri, Abbel Fattah al Sisi.
-
CBS: Misri na Israel zina ushirikiano wa karibu wa kijeshi
Jan 05, 2019 04:27Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ameiomba kanali ya televisheni ya CBS ya Marekani kutorusha hewani mahojiano iliyomfanyia, ambapo alifichua kuhusu uhusiano wa karibu wa kijeshi wa nchi hiyo na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi dhidi ya watalii nchini Misri
Dec 30, 2018 11:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi la hivi karibuni lililopelekea kuuawa watalii kadhaa huko nchini Misri.
-
Watu kadhaa wakiwemo watalii wauawa katika mripuko wa bomu Misri
Dec 29, 2018 04:32Watalii watatu wa Vietnam na raia mmoja wa Misri wameuawa baada ya bomu lililotegwa kando ya barabara kuripukia basi lililokuwa likifanya safari ya kitalii karibu na Mapiramidi ya Giza nje kidogo ya mji mkuu wa Misri, Cairo.
-
Maafisa wa Iran na Misri wajadili masuala ya pande mbili
Dec 27, 2018 11:13Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa, Hossein Amir-Abdollahian amekutana hapa mjini Tehran na kufanya mazungumzo na afisa mkuu anayeshughulikia maslahi ya Misri hapa nchini, Yasser Othman ambapo wamesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili.
-
Misri yamteua mkuu mpya wa intelijinsia wa jeshi
Dec 23, 2018 11:44Misri imemteua Meja Jenerali Khalid Megawer kuwa Mkuu Mpya wa Intelijinsia wa Jeshi la nchi hiyo. Nafasi hiyo awali ilikuwa ikishikiliwa na Mohamed al Shahat.
-
Wanajeshi wanne wa Misri wauawa mapiganoni katika mkoa wa Sinai
Dec 17, 2018 04:47Wanajeshi wanne wa Misri wameuawa katika mapigano kati ya jeshi la serikali na makundi ya waasi katika mkoa wa Sinai ya kaskazini nchini humo.
-
Serikali ya Misri yaogopa kivuli chake, yapiga marufuku uuzaji wa 'vizibao vya njano'
Dec 11, 2018 03:51Serikali ya Misri imepiga marufuku uuzaji wa vizibao vya njano, ikihofia kuwa huenda wapinzani wakavitumia katika maandamano kama yale yanayoshuhudiwa nchini Ufaransa kwa zaidi ya wiki nne sasa.