-
Jeshi la Misri laangamiza wanachama 24 wa Daesh eneo la Sinai
Oct 16, 2017 04:32Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuwaua wanachama 24 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika Peninsula ya Sinai, kaskazini mwa nchi.
-
Wanajeshi sita wa Misri wauawa katika shambulio la kigaidi Sinai
Oct 13, 2017 11:20Watu wanaoaminika kuwa magaidi wakufurishaji wamewapiga risasi na kuwaua wanajeshi sita wa Misri katika eneo lililokumbwa na misukosuko la Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Misri yarefusha muda wa hali ya hatari kwa miezi 3
Oct 12, 2017 10:36Kwa mara nyingine tena serikali ya Misri imeongeza muda wa sheria ya hali ya hatari nchini humo kwa miezi mitatu mingine.
-
Ijumaa tarehe 6 Oktoba, 2017
Oct 05, 2017 23:03Leo ni Ijumaa tarehe 15 Muharram 1439 Hijria sawa na Oktoba 6, 2017.
-
Kiongozi wa zamani wa Ikhwanul Muslimin afariki dunia
Sep 23, 2017 04:16Kiongozi mkuu wa zamani wa Harakati ya Ikhwanul Muslimin Mohammad Mahdi Akef, ameaga dunia Ijumaa mjini Cairo akiwa na umri wa miaka 89.
-
Misri: Kuna ulazima wa kutekeleza matakwa yaliyowasilishwa kwa Qatar
Sep 19, 2017 03:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa nchi nne zilizoiwekea vikwazo Qatar ziko tayari kutatua mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Muhammad Mursi ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kushirikiana na Qatar
Sep 16, 2017 23:40Mahakama moja nchini Misri imemuhukumu rais wa zamani wa Misri, Muhammad Mursi kifungo cha maisha jela.
-
Wamisri wataka wapinzani wa serikali ya Syria wafukuzwe nchini kwao
Sep 12, 2017 10:29Wananchi wa Misri wameitaka serikali ya nchi hiyo kuwatimua wapinzani wa serikali ya Syria walioko nchini humo.
-
Askari polisi 18 wa Misri wauawa Sinai; IS yatangaza kuhusika
Sep 11, 2017 11:16Askari polisi wasiopungua 18 wa Misri wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa wakati bomu liliporipuka karibu na msafara wa kikosi cha usalama katika Rasi ya Sinai kaskazini mwa nchi hiyo leo.
-
UN: Mateso yaliyoratibiwa yanafanyika katika jela za Misri
Sep 08, 2017 12:26Kamati ya Kimataifa ya Kupambana na Mateso ya Umoja wa Mataifa imeripoti habari kuhusu mateso yaliyoratibiwa yanayofanyika nchini Misri.