Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Majeshi ya Ethiopia na Sudan yawekwa katika hali ya tahadhari kukabiliana na shambulio tarajiwa la Misri

    Majeshi ya Ethiopia na Sudan yawekwa katika hali ya tahadhari kukabiliana na shambulio tarajiwa la Misri

    May 08, 2017 23:50

    Vikosi vya mpakani vya majeshi ya Sudan na Ethiopia katika mpaka wa pamoja na Misri vimewekwa katika hali ya tahadhari kwa lengo la kuzima shambulio linaloweza kufanywa na nchi hiyo dhidi ya bwana la Ethiopia la Al-Nahdhah (Renaissance).

  • Balozi wa Misri katika Arab League atangaza mshikamano na Wapalestina wanaosusia kula katika jela za Israel

    Balozi wa Misri katika Arab League atangaza mshikamano na Wapalestina wanaosusia kula katika jela za Israel

    May 05, 2017 02:45

    Balozi wa Misri katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Arab League, ametangaza mshikamano na wafungwa wa Kipalestina waliogoma kula katika jela za utawala katili wa Kizayuni wa Israel.

  • Hatari ya ugaidi, changamoto kubwa zaidi ya Misri

    Hatari ya ugaidi, changamoto kubwa zaidi ya Misri

    May 01, 2017 23:55

    Rais Abdulfattah as-Sisi, wa Misri amesema kwamba hatari ya ugaidi ni changamoto kubwa zaidi kati ya changamoto zinazoikabili nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Misri yamuhukumu kifo kiongozi wa Ikhwanul Muslimin

    Misri yamuhukumu kifo kiongozi wa Ikhwanul Muslimin

    Apr 30, 2017 23:37

    Mahakama moja nchini Misri imemhukumu kifo kiongozi wa harakati ya Kiislamu iliyopigwa marufuku nchini humo ya Ikhwanul Muslimin.

  • Jumapili 30

    Jumapili 30

    Apr 29, 2017 21:57

    Leo ni Jumapili tarehe tatu Shaban 1438 Hijria, sawa na tarehe 30 Aprili, 2017

  • Safari ya Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Misri

    Safari ya Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Misri

    Apr 29, 2017 03:19

    Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Ijumaa ya jana alianza safari ya siku mbili nchini Misri. Safari ya Papa Francis nchini Misri inafanyika katika muendelezo wa stratejia ya mazungumzo na Uislamu wa wastani ambayo yalianza mwaka uliopita huko Roma kwa kuhudhuriwa na Ahmad Tayyib, Sheikh Mkuu wa al-Azhar.

  • Juhudi za Saudia za kuishawishi Misri ijiunge na siasa zake

    Juhudi za Saudia za kuishawishi Misri ijiunge na siasa zake

    Apr 25, 2017 01:50

    Mfalme Salaman bin Abdul Aziz wa Saudi Arabia na Rais Abdul Fattah al Sisi wamekuatana na kufanya mazungumzo ambayo yamehusu suala la kuboresha uhusiano wa pande mbili na matukio ya kikanda na kimataifa.

  • Wafuasi 20 wa Mursi wahukumiwa adhabu ya kifo Misri

    Wafuasi 20 wa Mursi wahukumiwa adhabu ya kifo Misri

    Apr 24, 2017 23:29

    Mahakama Kuu ya Misri imewahukumu wafuasi 20 wa rais aliyeondolewa madarakani wa nchi hiyo adhabu ya kifo kwa madai kwamba wamepatikana na hatia ya kuua polisi 13.

  • Hitilafu kati ya Misri na Sudan zapamba moto zaidi

    Hitilafu kati ya Misri na Sudan zapamba moto zaidi

    Apr 21, 2017 11:26

    Sudan imewasilisha malalamiko yake dhidi ya Misri katika Umoja wa Mataifa kuhusu umiliki wa maeneo ya Hala'ib na Shalatiin.

  • Waziri wa Ulinzi wa Marekani atembelea Misri

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani atembelea Misri

    Apr 20, 2017 23:43

    James Mattis, waziri wa ulinzi wa Marekani ametembelea Misri kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kijeshi na kiusalama wa nchi hizo mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS