-
Hitilafu kati ya Misri na Sudan zapamba moto zaidi
Apr 21, 2017 11:26Sudan imewasilisha malalamiko yake dhidi ya Misri katika Umoja wa Mataifa kuhusu umiliki wa maeneo ya Hala'ib na Shalatiin.
-
Waziri wa Ulinzi wa Marekani atembelea Misri
Apr 20, 2017 23:43James Mattis, waziri wa ulinzi wa Marekani ametembelea Misri kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kijeshi na kiusalama wa nchi hizo mbili.
-
Magaidi 19 wa Daesh wauawa katika shambulizi la anga Misri
Apr 20, 2017 09:35Kwa akali magaidi 19 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh akiwemo kamanda wa ngazi za juu wa genge hilo wameuawa katika shambulizi la anga la jeshi la Misri katika Peninsula ya Sinai.
-
Safari ya Al-Hakim mjini Cairo; ustawishaji wa kimalengo wa uhusiano wa Misri na Iraq
Apr 19, 2017 02:40Sayyid Ammar Al-Hakim, kiongozi wa Muungano wa Kitaifa, ambao ni mrengo mkubwa zaidi wa kisiasa nchini Iraq jana Jumanne ya tarehe 18 Aprili alielekea nchini Misri kwa mwaliko rasmi wa viongozi wa nchi hiyo.
-
Jumatano, 19 Aprili, 2017
Apr 18, 2017 22:05Leo ni Jumatano tarehe 21 Rajab 1438 Hijria sawa na Aprili 19, 2017.
-
Jumanne, 18 Aprili, 2017
Apr 18, 2017 02:28Leo ni Jumanne tarehe 20 Rajab 1438 Hijria sawa na Aprili 18, 2017
-
Misri: Hatujatuma askari wetu nchini Yemen
Apr 17, 2017 03:45Serikali ya Misri imekadhibisha madai yaliyotolewa na Msemaji wa Muungano wa Kichokozi wa Saudia dhidi ya Yemen kwamba Cairo imetuma askari wake nchini Yemen.
-
Aboul Gheit: Ni baidi Misri kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Ethiopia
Apr 14, 2017 11:42Katibu Mkuu wa Arab League Ahmed Aboul Gheit amesema kuwa, ni baidi Misri kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Ethiopia kuhusiana na tofauti za nchi mbili juu ya ujenzi wa bwawa la al-Nahdha (Renaissance) katika mto Nile.
-
Misri yakosoa hatua ya baadhi ya nchi katika kuunga mkono ugaidi
Apr 12, 2017 09:41Waziri Mkuu wa Misri amezituhumu baadhi ya nchi waungaji mkono wakubwa wa makundi ya kigaidi.
-
Larijani: Lengo la makundi ya kigaidi ni kuzusha udini duniani
Apr 11, 2017 10:52Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya makanisa mawili nchini Misri siku ya Jumapili iliyopita ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa huku akisisitiza kuwa, lengo la magaidi ni kuzusha mifarakano ya kidini duniani.