Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Jeshi la Misri laangamiza magaidi 14 katikati mwa Sinai

    Jeshi la Misri laangamiza magaidi 14 katikati mwa Sinai

    Feb 06, 2017 11:33

    Jeshi la Misri limewaangamiza magaidi 14 katika mkoa wa Sinai na kuwatia mbaroni wengine kumi kufuatia operesheni kali ya jeshji la nchi hiyo katika maeneo hayo.

  • Misri yawaongezea muda wanajeshi wake katika muungano vamizi wa Saudia huko Yemen

    Misri yawaongezea muda wanajeshi wake katika muungano vamizi wa Saudia huko Yemen

    Feb 05, 2017 23:11

    Rais Abdel Fattah al Sisi wa Misri ameongeza muda wa ushiriki wa wanajeshi wa nchi hiyo katika vita huko Yemen vinavyoongozwa na utawala wa Saudi Arabia.

  • Waasi Sudan Kusini wadai Misri imewashambulia

    Waasi Sudan Kusini wadai Misri imewashambulia

    Feb 05, 2017 03:56

    Waasi Sudan Kusini wameituhumu Misri kuwa imetekeelza hujuma za angani katika ngome zao huku wakuu wa Cairo wakikanusha kufanya hivyo.

  • Waasi Sudan Kusini waituhumu Misri kuwa imeshambulia ngome zao

    Waasi Sudan Kusini waituhumu Misri kuwa imeshambulia ngome zao

    Feb 05, 2017 00:58

    Waasi wa Sudan Kusini wameituhumu Misri kuwa imeshambulia kwa mabomu maeneo na ngome zao na kutahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea vita vya kieneo.

  • Mkakati wa Misri wa kuasisi Umoja wa kaskazini mwa Afrika

    Mkakati wa Misri wa kuasisi Umoja wa kaskazini mwa Afrika

    Feb 05, 2017 00:57

    Misri imesema inataka kuanzisha Umoja wa Kaskazini mwa Afrika.

  • Misri yaanzisha mpango wa kuunda Jumuiya ya

    Misri yaanzisha mpango wa kuunda Jumuiya ya "Kaskazini mwa Afrika"

    Feb 03, 2017 04:10

    Misri imetaka ianzishwe "Jumuiya ya Kaskazini mwa Afrika".

  • Mahakama ya Misri yawahukumu adhabu ya kifo raia wawilli kwa tuhuma za ugaidi

    Mahakama ya Misri yawahukumu adhabu ya kifo raia wawilli kwa tuhuma za ugaidi

    Feb 02, 2017 10:35

    Mahakama ya jinai nchini Misri imewahukumu adhabu ya kifo raia wawili wa nchi hiyo kwa kushirikiana na genge la kigaidi la 'Al-Warraq' ambalo limekuwa likihusika na mauaji dhidi ya maafisa wa polisi wa nchi hiyo.

  • Daesh yadai imeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa Misri, Sinai

    Daesh yadai imeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa Misri, Sinai

    Feb 01, 2017 04:08

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limedai kwamba limeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa Misri kaskazini mwa eneo la Sinai.

  • Misri yalaani mpango mpya wa Israel wa kujenga vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi

    Misri yalaani mpango mpya wa Israel wa kujenga vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi

    Jan 25, 2017 11:43

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Misri imelaani hatua ya utawala haramu wa Israel ya kupasisha mpango mpya wa ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni katika mji wa Baytul Muqaddas.

  • Baraza la Mapinduzi la Misri lawataka wananchi wasiitii serikali

    Baraza la Mapinduzi la Misri lawataka wananchi wasiitii serikali

    Jan 23, 2017 23:26

    Baraza la Mapinduzi la Misri limewataka wananchi wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wasiitii serikali sambamba na maadhimisho ya mapinduzi ya wananchi ya Januari 25, 2011 yaliyomngóa madarakani dikteta Hosni Mubarak.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS