-
Kuendelea mgogoro na maandamano ya wananchi nchini Morocco
Jul 23, 2017 22:04Katika muendelezo wa machafuko na malalamiko ya wananchi nchini Morocco, askari usalama wa nchi hiyo wamewatia nguvuni makumi ya raia wa nchi hiyo katika mji wa Al Hoceima.
-
Gazeti la Quds al-Arabi: Mgogoro wa Morocco hautatatuliwa kijeshi
Jun 27, 2017 10:37Mtandao wa habari wa gazeti la Quds al-Arabi limeandika kuwa, mgogoro wa malalamiko ya raia wa eneo la kaskazini mwa Morocco, hauwezi kutatuliwa kwa kutumia mabavu, bali utatatuliwa kwa kutekeleza malalamiko ya wananchi.
-
Mfalme wa Morocco akosa kuhudhuria mkutano wa ECOWAS kwa ajili ya Netanyahu
Jun 04, 2017 02:49Mfalme Muhammad wa Sita wa Morocco amekosa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) unaofanyika leo nchini Liberia kwa kuwa unahudhuriwa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Wananchi wa Morocco waendeleza maandamano
Jun 03, 2017 10:40Polisi Morocco wamepambna na waandamanaji wanaoipinga serikali katika eneo la Rif, ambalo limekumbwa na maandamano ya siku kadhaa ya wananchi wanapinga kukamatwa mwanaharakati maarufu.
-
Maandamano Morocco kupinga polisi kumsaka mwanaharakati
May 29, 2017 03:01Mamia ya watu wameandamana katika mji wa al-Hoceima kaskazini mwa Morocco kupinga hatua ya polisi kumsaka mwanaharakati na kutiwa mbaroni waandamanaji 20 siku chache zilizopita.
-
Wanaharakati Morocco waunga mkono mgomo wa kula wa mateka Wapalestina
May 08, 2017 22:58Wanaharakati 1,500 nchini Morocco wametangaza kufungamana kwao na Wapalestina mateka waliogoma kula ambao wanashikiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wamorocco waandamana kuwaunga mkono Wapalestina wanaosusia kula
May 02, 2017 23:15Wananchi wa Morocco wamefanya maandaamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Rabat, kuonyesha uungaji mkono wao kwa wafungwa wa Kipalestina ambao wanadhalilishwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.
-
Morocco yakaribisha azimio la Baraza la Usalama la UN kuhusu Sahara Magharibi
Apr 29, 2017 23:05Serikali ya Morocco imekaribisha azimio lililopitishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Sahara Magharibi.
-
Morocco yaituhumu Algeria kuwatesa wakimbizi wa Syria
Apr 23, 2017 03:24Serikali ya Morocco imeilaumu Algeria kwa kuwazingira wakimbizi wa Syria katika "mazingira yasiyo ya kibinadamu" kwenye mpaka wa kusini mwa Algeria.
-
Morocco yafungua rasmi ubalozi wake nchini Rwanda
Apr 15, 2017 03:25Uhusiano wa pande mbili wa Morocco na Rwanda unatazamiwa kuimarika baada ya serikali ya Rabat kufungua rasmi ubalozi wake mjini Kigali.