-
Hatimaye serikali mpya ya mseto Morocco yaundwa
Apr 06, 2017 03:19Hatimaye serikali ya mseto ya Morocco imeundwa na viongozi kutoka vyama sita vyenye viti vingi bungeni ikiwa ni baada ya mkwamo wa kisiasa wa miezi sita.
-
Kuundwa serikali ya mseto ili kutanzua mkwamo wa kisiasa nchini Morocco
Mar 26, 2017 22:13Baada ya miezi kadhaa ya mvutano wa kisiasa nchini Morocco, hatimaye Waziri Mkuu wa nchi hiyo ametangaza habari ya kuundwa serikali ya mseto.
-
Morocco yakubali kuunda serikali ya mseto kufumbua mkwamo wa kisiasa
Mar 26, 2017 02:01Waziri Mkuu mpya wa Morocco, Saadu Din al-Othmani amekubali kuunda serikali ya mseto itakayojumuisha vyama vingine vitano vya siasa , kwa shabaha ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa muda wa mrefu wa kisiasa nchini humo.
-
Alkhamisi, Pili Machi, 2017
Mar 01, 2017 23:06Leo ni Alkhamisi tarehe 3 Jumadithani 1438 Hijria sawa na tarehe Pili Machi, 2017.
-
UN yataka Morocco, Polisario kupunguza uhasama
Feb 26, 2017 04:29Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameelezea wasiwasi wake kuhusu kuendelea kwa mvutano kwenye ukanda unaotenganisha pande hasimu huko Sahara Magharibi.
-
Morocco, mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu
Feb 15, 2017 12:28Mkutano wa saba mkuu wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Ulimwengu wa Kiislamu katika kulinda utambulisho wa Kiislamu wa "Quds Tukufu" umefanyika nchini Morocco.
-
Wanachama watatu wa Daesh watiwa mbaroni Morocco
Feb 07, 2017 04:13Askari usalama wa Morocco wamewatia mbaroni wanachama watatu wa kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.
-
Morocco yatishia kuvunja uhusiano wa kiuchumi na EU
Feb 07, 2017 00:31Serikali ya Morocco imetishia kuvunja uhusiano wake wa kiuchumi na Umoja wa Ulaya (EU).
-
Morocco yasema haitaitambua Sahara Magharibi licha ya kurejea AU
Feb 06, 2017 04:10Serikali ya Rabat imesema katu haitatambua uhuru wa Jamhuri ya Sahara Magharibi licha ya Morocco kukubaliwa kurejea katika Umoja wa Afrika AU baada ya kuondoka zaidi ya miongo mitatu iliyopita.
-
Mfalme wa Morocco aitembelea Sudan Kusini
Feb 02, 2017 03:48Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco yuko nchini Sudan Kusini katika ziara ya siku tatu iliyoanza jana Jumatano, siku moja baada ya nchi hiyo kurejea katika Umoja wa Afrika.