-
Watu 15 wauawa katika mlipuko wa bomba la gesi Lagos Nigeria
Mar 16, 2020 08:07Mlipuko wa bomba la gesi uliotokea katika mji mkuu wa kibiashara wa Lagos nchini Nigeria umepelekea kwa uchache watu 15 kuaga dunia na makumi ya wengine kujeruhiwa.
-
Waziri Mkuu wa Sudan anusurika kifo katika shambulio la bomu
Mar 09, 2020 10:15Waziri Mkuu wa Sudan Abdulla Hamdok amenusurika kifo leo kufuatia mlipuko wa gari uliolenga gari lake katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum.
-
Milipuko kadhaa mikubwa katika Bandari ya al-Fujairah UAE
May 12, 2019 14:55Milipuko kadhaa mikubwa imeripotiwa kujiri katika Bandari ya al-Fujairah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Watu 15 wauawa katika shambulizi la kigaidi Mogadishu, Somalia
Mar 28, 2019 15:08Kwa akali watu 15 wameuawa katika mripuko wa bomu lililokuwa limetegwa garini, nje ya hoteli na mikahawa katika eneo lenye shughuli nyingi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Makumi ya wanahabari waandamana Sudan kulalamikia ukandamizaji wa al-Bashir
Mar 25, 2019 14:27Makumi ya wanahabari wameandamana leo katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum wakitaka kuachiliwa huru Osman Mirghani, Mhariri Mkuu wa gazeti mashuhuri la al-Tayar na kulalamikia ukandamizaji wa vyombo vya usalama dhidi ya waandamanaji.
-
Watoto 10 wapoteza maisha katika mlipuko Omdurman, Sudan
Mar 25, 2019 00:13Watoto wasipungua 10 wamepoteza maisha baada ya chombo kisichojulikana kulipuka katika mji wa Omdurman karibu na mji mkuu wa Sudan, Khartoum.
-
Milipuko ya mabomu na milio ya risasi vyautikisa mji wa Mogadishu Somalia
Mar 23, 2019 14:15Duru za habari nchini Somalia zimeripoti kuwa miripuko miwili ya kutisha ya mabomu pamoja na milio ya risasi imeitikisa Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Jumamosi, 02, Machi, 2019
Mar 02, 2019 02:50Leo ni Jumamosi tarehe 24 Mfunguo Tisa Jamadithani 1440 Hijria sawa na tarehe Pili Machi 2019 Miladia.
-
Askari watano wa Marekani wauawa katika shambulio la bomu Manbij, kaskazini mwa Syria
Jan 17, 2019 16:15Askari wasiopungua watano wa jeshi la Marekani na raia 18 wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea karibu na mahali ulipokuwa ukipita msafara wa askari wa muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Marekani, katika mji wa Manbij kaskazini mwa Syria.
-
Watu 16 wapoteza maisha katika hujuma ya kigaidi Mogadishu, Somalia
Dec 22, 2018 15:15Watu 16 wamepoteza maisha kufuatia hujuma ya kigaidi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.