-
Watu kumi wafariki dunia katika mlipuko wa bomu nchini Ethiopia
Dec 20, 2018 07:54Kwa akali watu 10 wamefariki dunia nchini Ethiopia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko mkubwa wa bomu la kutegwa kando ya barabara moja magharibi mwa nchi hiyo.
-
Mripuko katika mji mkuu wa Somalia waua watu wanane na kujeruhi wengine 10
Nov 26, 2018 15:47Jeshi la polisi nchini Somalia limetangaza habari ya kuuawa na kujeruhiwa watu wasiopungua 18 baada ya gari lililokuwa limetegwa mabomu kuripuka mjini Mogadishu leo Jumatatu.
-
Mbunge auawa katika mripuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Nov 08, 2018 15:48Polisi ya Somalia imesema mbunge mmoja wa eneo la HirShabelle amepoteza maisha katika mripuko wa bomu uliotokea adhuhuri ya leo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.
-
Mripuko wa bomu Sinai, Misri waua wafanyakazi watatu
Oct 25, 2018 13:52Wafanyakazi watatu raia wa Misri wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea leo Alkhamisi katika eneo linalokumbwa na misukosuko na ukosefu wa usalama la Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Watu 50 wafa, 100 wachomwa na moto wa lori la mafuta DRC
Oct 06, 2018 15:29Watu wasiopungua 50 wamepoteza maisha na wengine 100 wamepata majeraha ya moto baada ya lori la mafuta lililopinduka kuanza kuwaka moto huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Wanajeshi 8 wauawa katika mripuko kaskazini mwa Burkina Faso
Sep 27, 2018 03:00Askari wanane wa jeshi la Burkina Faso wamepoteza maisha kufuatia mripuko wa bomu uliotokea jana Jumatano kaskazini mwa nchi.
-
Sita wauawa katika hujuma ya kigaidi Mogadishu, Somalia
Sep 02, 2018 13:23Watu wasiopungua sita wameuawa baada ya gaidi mmoja kushambulia kwa bomu ofisi ya serikali za mitaa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Wanajeshi 3 Wasomali wauawa katika hujuma ya kigaidi nje ya Mogadishu
Aug 05, 2018 15:33Wanajeshi wasiopungua watatu wa Somalia wameuawa kufuatia hujuma ya kigaidi katika wilaya ya Afgoye iliyo kilomita 30 kaskaini magharibi mwa mji mkuu, Mogadishu.
-
Jumatano Julai 25, 2018
Jul 25, 2018 01:18Leo ni Jumatano tarehe 11 Dhulqaada 1439 Hijria sawa na Julai 25, 2018.
-
Mripuko wa bomu watokea karibu na ikulu ya rais wa Somalia
Jul 07, 2018 14:25Polisi ya Somalia imetangaza habari ya kutokea mripuko wa bomu karibu na ikulu ya Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa nchi hiyo mjini Mogadishu.