-
Washukiwa wawili watiwa nguvuni kuhusiana na mlipuko wa Zimbabwe
Jul 04, 2018 13:55Polisi nchini Zimbabwe imewatia mbaroni washukiwa wawili kuhusiana na mlipuko wa guruneti ulioua watu wawili na kuwajeruhi wengine 47 katika mkutano wa kampeni wa Rais Emmerson Mnangagwa mwezi uliopita.
-
Ethiopia: Shambulio la guruneti ni sehemu ya njama ya njama ya kuvuruga uchumi
Jun 29, 2018 15:38Ofisi ya Waziri Mkuu wa Ethiopia imeeleza kuwa kukatika umeme na njia za mawasiliano kulikojiri kwa wakati mmoja na shambulio la guruneti katika mkutano uliohudhuriwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abiy Ahmed Jumamosi iliyopita ilikuwa sehemu ya njama kubwa.
-
Rais wa Zimbabwe: Siku yangu ya kufa bado haijafika + Video
Jun 24, 2018 04:45Rais wa Zimbabwe amesema baada ya kunusurika kifo katika mlipuko wa jana kwamba, siku yake ya kufa ilikuwa haijafika.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia anusurika kifo katika hujuma ya mlipuko wa bomu
Jun 23, 2018 14:02Mripuko wa bomu umetokea katikati ya wafuasi wa Waziri Mkuu wa Ethiopia mjini Addis Ababa na ambao ulikuwa umemkusudia kiongozi huyo na kusababisha watu kadhaa kuuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Wanane wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu mjini Derna, Libya
May 28, 2018 14:32Watu wanane wameuawa na kujeruhiwa kwenye mripuko wa bomu uliotokea katika mji wa Derna wa mashariki mwa Libya.
-
Watu watano wauawa kwa mripuko wa bomu katika uwanja wa mpira Somalia
Apr 13, 2018 04:42Kwa akali watu watano wameuawa katika shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu ulilotokea katika uwanja wa mpira wa miguu, kusini mwa Somalia.
-
Watu 14 wauawa katika mlipuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Mar 23, 2018 04:32Kwa akali watu 14 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia mlipuko wa bomu uliotokea katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.
-
Askari wanne wa Somalia wauawa katika shambulio la bomu karibu na Mogadishu
Mar 11, 2018 07:18Askari wasiopungua wanne wa vikosi vya usalama vya Somalia wameuawa na mwengine mmoja amejeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea kwenye viunga vya mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.
-
Watu watatu wauawa, 6 wajeruhiwa kaskazini mwa Misri
Feb 04, 2018 16:32Duru za Misri zimetangaza kuwa, watu watatu wameuawa na wengine 6 kujeruhiwa katika tukio la karibuni kabisa la kushambuliwa polisi wa Misri, kusini mwa al Arish, makao makuu ya jimbo la Sinai Kaskazini, nchini Misri.
-
Miripuko ya kigaidi yazidi kuisakama Afghanistan, zaidi ya watu 60 wauawa mjini Kabul
Jan 27, 2018 17:03Habari kutoka Afghanistan zinaarifu kwamba kwa akali watu 60 wameuawa na wengine zaidi ya 200 wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu la kutegwa ndani ya gari la kubebea wagonjwa katikati ya Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo.