-
Iran: Ushirikiano wa dunia unahitajika kwa ajili ya kukabiliana na ugaidi
Jan 24, 2018 14:35Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani milipuko ya kigaidi iliyotokea huko Benghazi Libya ambapo mbali na kuwapa mkono wa pole wale waliopoteza ndugu zao katika tukio hilo la kigaidi amesenma kuwa, ili kuukabiliana na ugaidi usio na mipaka kuna haja ya kuweko ushirikiano wa dunia katika hilo.
-
Miripuko ya mabomu yaua watu 33 na kujeruhi 50 mjini Benghazi nchini Libya
Jan 24, 2018 07:56Watu wasiopungua 33 wameuawa na wengine wapatao 50 wamejeruhiwa baada ya magari mawili yaliyotegwa mabomu kuripuka katika mji wa Benghazi ulioko mashariki mwa Libya.
-
Watu 27 wauawa katika hujuma ya kigaidi mjini Baghdad, Iraq
Jan 15, 2018 07:49Watu wasiopungua 27 wameuawa na wengine zaidi ya 65 kujuruhiwa kufuatia mashambulizi mawili ya kigaidi katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Askari 6 wa Misri wauawa katika shambulizi la bomu eneo la Sinai
Dec 29, 2017 08:01Wanajeshi sita wa Misri wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea jana Alkhamisi katika eneo linalokumbwa na misukosuko la Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Miripuko minne ya mabomu yatokea katika eneo linalozungumza Kiingereza nchini Cameroon
Nov 13, 2017 15:07Maafisa wa Cameroon wametangaza habari ya kutokea miripuko minne katika eneo moja linalozungumza lugha ya Kiingereza nchini humo.
-
Idadi ya waliouawa katika shambulio la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria yafikia 65
Oct 13, 2017 07:35Idadi ya waliouawa katika shambulio la kigaidi lililofanywa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh katika mji wa Al Hasakah nchini Syria imefikia watu 65.
-
Watu saba wauawa katika mlipuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Sep 29, 2017 04:11Watu wasiopungua saba wanaripotiwa kufariki dunia katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko mkubwa katika eneo moja mjini humo.
-
Askari 8 wa UN wauawa, kujeruhiwa katika mripuko nchini Mali
Sep 24, 2017 14:31Wanajeshi watatu wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali MINUSMA wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea kaskazini mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Watu 27 wauawa katika shambulio la kigaidi kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 16, 2017 04:27Watu 27 wameuawa kaskazini mashariki mwa Nigeria na wengine 83 kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi lililotekelezwa na wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Jumanne tarehe 25 Julai, 2017
Jul 25, 2017 03:01Leo ni Jumanne tarehe Mosi Dhilqaada 1438 Hijria sawa na Julai 25, 2017.