-
Mamia ya misikiti imebomolewa na Israel katika Ukanda wa Gaza
Oct 06, 2024 02:50Wizara ya Wakfu ya Gaza imetangaza kuwa misikiti zaidi ya 800 imebomolewa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina kufuatia vita na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mvua na mafuriko yabomoa Msikiti mkongwe zaidi Niger
Sep 05, 2024 06:03Maafa ya mvua na mafuriko yanaendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali za magharibi mwa Afrika na kusababisha maafa makubwa ikiwa ni pamoja na kubomoa Msikiti mkongwe zaidi nchini Niger.
-
84% ya Misikiti ya Gaza imeharibiwa na mabomu ya Wazayuni
Aug 22, 2024 03:06Asilimia 84 ya Misikiti katika Ukanda wa Gaza huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu imeharibiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Misikiti zaidi ya 600 yabomolewa Ukanda wa Gaza kufuatia mashambulizi ya Wazayuni
May 18, 2024 07:24Wizara ya Wakfu ya Gaza imetangaza kuwa misikiti 604 imebomolewa kikamilifu katika UKanda wa Gaza kufuatia vita na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni.
-
Shambulio dhidi ya msikiti la sababu za kifamilia lajeruhi watu 24 wakiwemo watoto kaskazini ya Nigeria
May 16, 2024 06:23Polisi ya Nigeria imesema, watu wasiopungua 24 wakiwemo watoto wanne wamejeruhiwa katika jimbo la kaskazini la Kano baada ya mwanamume mmoja kushambulia msikiti waliokuwamo ndani yake watu hao waliokuwa wakisali na kusababisha mripuko.
-
Mapinduzi ya Kiisamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran
Feb 11, 2024 04:27Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya Iran yaliyotokea 1979
-
Mapinduzi ya Kiislamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran
Feb 05, 2024 06:24Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya Iran yaliyotokea 1979
-
Hujuma za Israel zimebomoa misikiti 1,000 Gaza tokea Oktoba 7
Jan 22, 2024 12:02Wizara ya Wakfu na Masuala ya Dini katika Ukanda wa Gaza imesema mashambulizi ya vikosi vya utawala katili wa Israel dhidi ya eneo hilo lililozingirwa yamebomoa na kuharibu misikiti 1,000 tokea Oktoba 7 mwaka uliopita hadi sasa.
-
Msikiti, Dhihirisho la Utambulisho wa Uislamu (Maalumu Siku ya Msikiti Duniani)
Aug 27, 2023 10:34Mwaka 2003, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilipendekeza katika mkutano wa 30 wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Kiislamu mjini Tehran, kwamba kutokana na nafasi muhimu ya misikiti katika kuimarisha umoja na mshikamano wa Waislamu, iainishwe siku moja kuwa Siku ya Kimataifa ya Msikiti.
-
Serikali ya India yabomoa msikiti mwingine kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara
Jan 17, 2023 07:28Serikali ya India imebomoa msikiti mwingine katika jimbo la Uttar Pradesh kwa kisingizio cha ujenzi wa barabara.