-
Watu 1,200 waambukizwa kipindupindu nchini Msumbiji
Mar 15, 2017 02:29Wizara ya Afya ya Msumbiji imetangaza kwamba mamia ya watu wameathiriwa na ugonjwa wa kipindupindu katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Muda wa usitishwaji vita waongezwa Msumbiji
Mar 04, 2017 03:22Chama kikuu cha upinzani Msumbiji, Renamo, ambacho pia ni harakati ya waasi, kimeongeza muda wa usitishwaji mapigano kwa miezi mingine miwili ili kutoa mwanya wa mazungumzo na serikali ya Rais Filipe Nyusi.
-
Watu 12 wafariki dunia kwenye mgodi nchini Msumbiji
Feb 05, 2017 14:20Kwa akali watu 12 wamepoteza maisha baada ya mgodi kuwaporomokea katika mkoa wa Zambézia nchini Msumbiji.
-
Chama kikuu cha upinzani Msumbiji charefusha muda wa usitishwaji vita
Jan 03, 2017 14:21Chama kikuu cha upinzani nchini Msumbiji kimetangaza kurefusha muda wa usitishaji vita kati yake na serikali kwa muda wa miezi miwili, ili kutoa nafasi kwa mazungumzo ya amani.
-
Lori la mafuta laripuka na kuua watu 73 nchini Msumbiji
Nov 18, 2016 07:56Zaidi ya watu 70 wamepoteza maisha baada ya lori la mafuta kuripuka katika mji wa Caphiridzange, mkoa wa Tete kaskazini mwa Msumbiji.
-
Kuongezeka mashambulizi ya utumiaji silaha nchini Msumbiji
May 31, 2016 04:17Msemaji wa polisi ya Msumbijii amesisitiza kuwa, kushadidi mashambulizi ya utumiaji silaha nchini humo ni jambo linalotia wasiwasi.
-
Afrika Kusini na Zimbabwe zatimua raia 200 wa Msumbiji
May 04, 2016 04:23Afrika Kusini na Zimbabwe zimewarejesha nyumbani raia 197 wa Msumbiji. Hayo yamesemwa na Idhaa ya Taifa ya Msumbuji.
-
Madai ya serikali ya Msumbiji kuhusu usiri katika deni la nchi hiyo
Apr 30, 2016 04:13Waziri Mkuu wa Msumbiji amesema kuwa, machafuko nchini humo ndiyo sababu kuu iliyoifanya serikali kuamua kuficha habari kuhusu deni la dola bilioni moja na laki nne la nchi hiyo kwa Mfuko wa Fedha wa Kimataifa IMF.
-
Jeshi la Msumbiji latuhumiwa kujihusha na vitendo vya mauaji na ubakaji
Jan 27, 2016 13:40Jeshi la Msumbiji linatuhumiwa kuhusika na vitendo vya mauaji na ubakaji dhidi ya raia.