-
Jumatatu, 31 Agosti, 2026
Aug 31, 2026 02:43Leo ni Jumatatu tarehe18 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1448 Hijria mwafaka na 31 Agosti 2026.
-
Jumapili, 30 Agosti, 2026
Aug 30, 2026 05:55Siku kama ya leo miaka 1501 iliyopita kwa mujibu wa nukuu na kauli za maulama wengi wa Kiislamu, alizaliwa Mtume Muhammad (saw) katika mji mtakatifu wa Makka.
-
Jumapili, 23 Agosti, 2026
Aug 23, 2026 02:44Leo ni Jumapili 10 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1448 Hijria mwafaka 23Agosti 2026 Miladia.
-
Alkhamisi, Agosti 13, mwaka 2026
Aug 13, 2026 02:53Leo ni Alkhamisi tarehe 29 Mfunguo Tano Safar 1448 Hijria sawa na tarehe 13 Agosti 2026.
-
Mwezi 28 Safar, Siku aliyotawafu Bwana Mtume Muhammad SAW
Aug 12, 2026 13:24Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh wapenzi wasikilizaji. Mwezi 28 Safar, unasadifiana na kumbukumbu ya kut'awafu, yaani kuaga dunia Mtume wa Mwenyezi Mungu, Nabii Muhammad Al-Mustafa, rehma za Allah na amani Yake ziwe juu yake na Aali zake. Na kwa mujibu wa baadhi ya Hadithi, siku hiyo pia inasadifiana na kumbukumbu ya kufa shahidi mjukuu wake mpenzi, Imam Hassan al-Mujtaba AS.
-
Jumatano, Agosti 12, 2026
Aug 12, 2026 03:44Leo ni Jumatano tarehe 28 Mfunguo Tano Safar 1448 Hijria inayosadifiana na tarehe 12 Agosti 2026.
-
Alipoaga Dunia
Aug 11, 2026 11:23Tunafungua kipindi chetu kwa Hadithi maarufu ya Bwana Mtume (saw) ambayo madhumuni yake yamepokewa katika Hadithi nyingi zilizoandikwa na wanazuoni wa madhehebu mbalimbali za Kiislamu.
-
Jumatano, Julai 22, 2026
Jul 22, 2026 02:47Leo ni Jumatano tarehe 7 Safar 1448 Hijria sawa na Julai 22, 2026.
-
Ijumaa, Julai 10, 2026
Jul 11, 2026 02:55Leo ni Ijumaa tarehe 25 Mfunguo Nne Muharram 1448 Hijria sawa na tarehe 10 Julai 2026.
-
Jumatano, tarehe 17 Juni, 2026
Jun 17, 2026 02:49Leo ni Jumatano tarehe 02 Mfunguo Nne Muharram 1448 Hijria sawa na Juni 17 mwaka 2026.