-
HAMAS: Iran inaendelea kuunga mkono mapambano ya Palestina
Jul 09, 2017 03:09Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kuunga mkono mapambano ya wananchi wa Palestina na hakuna wakati ambao Tehran ilisitisha himaya na uungaji mkono wake huo.
-
Israel; hatari kuu ya ulimwengu wa Kiislamu
Jun 28, 2017 23:42Naibu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Waislamu wa Kishia nchini Lebanon amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ndiyo hatari kuu kwa umma wa Kiislamu na kwamba kitendo cha baadhi ya nchi za Kiislamu cha kuwa na uhusiano na Israel ni hatari kubwa kwa Waislamu.
-
Hizbullah: Inashangaza kuona waungaji mkono wa ugaidi wakiuhusisha muqawama na ugaidi
May 29, 2017 09:22Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika eneo la Beqaa amesema kuwa, anashangazwa na Marekani kuutuhumu muqawama na ugaidi katika hali ambayo ni nchi hiyo ndiyo inayouunga mkono ugaidi wa utawala haramu wa Israel.
-
Khalid Mash'al asisitizia kuendelezwa mapambano ya Wapalestina dhidi ya Israel
May 03, 2017 21:51Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, mapambano na muqawama wa wananchi wa Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel utaendelea madhali kuna uvamizi na kunaendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina.
-
Wapalestina waliunga mkono jeshi na serikali ya Syria
Mar 18, 2017 12:20Mwakilishi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina hapa mjini Tehran amesema kuwa, makundi ya muqawama ya Palestina yanaliunga mkono jeshi na serikali ya Syria katika kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Kizayuni na pia kukomboa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Brigedia Dahqan: Misaada ya Iran, sababu ya kusindwa maadui
Mar 08, 2017 04:26Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran ya Kiislamui daima inayaunga mkono na kuyasaidia makundi ya mapambano na kwamba uungaji mkono huo umewalazimisha maadui kurudi nyuma na kushindwa.
-
Dr. Al-Zahar: Lengo la mkutano wa Intifadha wa mjini Tehran ni kuunga mkono muqawama
Feb 21, 2017 00:35Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, lengo la Mkutano wa Intifadha ya Palestina unaoanza leo hapa mjini Tehran ni kuunga mkono muqawama na mapambano na kwamba, nchi nyingine za Kiislamu nazo zinapaswa kuchukua hatua katika njia hiyo.
-
Kusimama kidete wananchi wa Yemen, sababu ya uadui wa Saudia
Feb 10, 2017 21:51Katibu Mkuu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unamshambulia mtu yoyote ambaye anaipinga Israel na kukabiliana na siasa za Marekani.
-
Mapambano dhidi ya ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni, ajenda kuu ya taarifa ya kiwizara ya serikali ya Lebanon
Dec 26, 2016 01:00Taarifa ya utendaji ya serikali ya Lebanon imepasishwa ikitilia maanani takwa la siku zote la watu wa Lebanon la kuendesha mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Zarif: Iran inafanya juhudi za kuimarisha muqawama wa taifa la Palestina
Dec 12, 2016 23:20Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili daima limekuwa likifanya juhudi za kuimarisha safu za muqawama, mapambano na mshikamano wa taifa la Palestina.