-
Jumanne, tarehe 11 Februari, 2025
Feb 11, 2025 02:43Leo ni Jumanne tarehe 12 Shaaban 1446 Hijria sawa na Februari 11 mwaka 2025.
-
Alkhamisi, tarehe 5 Disemba, 2024
Dec 05, 2024 02:58Leo ni Alkhamisi tarehe 03 Jumadithani 1446 Hijria sawa na Disemba 5 mwaka 2024.
-
Alkhamisi, 18 Julai, 2024
Jul 18, 2024 02:27Alkhamisi tarehe 12 Muharram 1446 Hijria sawa na Julai 18 mwaka 2024.
-
Mjukuu wa Mandela: Afrika Kusini imepata msukumo kutokana na uthabiti wa Wapalestina
Apr 28, 2024 11:50Mjukuu wa Nelson Mandela amesema Afrika Kusini imetiwa moyo na kupata msukumo kutokana na istikama na uthabiti wa Wapalestina; na kwa sababu hiyo ikaileta hoja ya piganio lao mbele ya Jamii ya Kimataifa.
-
Mwanasiasa wa Kiafrika: Baadhi ya nchi za Kiarabu zimekatisha tamaa katika kadhia ya Palestina
Feb 11, 2024 12:11Mwanasiasa na mjukuu wa kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amekosoa uungaji mkono dhaifu wa baadhi ya nchi za Kiarabu kwa watu wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Jumapili, 11 Februari, 2024
Feb 11, 2024 04:01Leo ni Jumapili Mosi Shaaban 1445 Hijria sawa na 11 Februari 2024 Miladia.
-
Mjukuu wa Mandela: Tutaishtaki Israel katika duru nyingine za kisheria
Jan 30, 2024 02:43Mjukuu wa Nelson Mandela, shujaa na kiongozi wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, amesema kuwa nchi yake itawasilisha mashtaka mengine dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika duru nyingine za kisheria, kama Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo.
-
Wawakilishi wa Hamas washiriki katika kumbukumbu ya kumuenzi Mandela
Dec 06, 2023 09:23Maafisa wakuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) jana Jumanne waliungana na familia ya Nelson Mandela katika kumbukumbu ya miaka 10 ya kifo cha rais huyo wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, mjini Pretoria.
-
Jumanne, tarehe 5 Disemba, 2023
Dec 05, 2023 02:39Leo ni Jumanne tarehe 21 Jumadil Awwal 1445 Hijria sawa na Disemba 5 mwaka 2023.
-
Katibu Mkuu wa UN: Mandela alikuwa shujaa wa ujasiri na amani, tumuenzi kwa vitendo
Jul 19, 2023 02:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewataka walimwengu wayaenzi maisha na urithi alioacha shujaa wa Afrika Kusini Nelson Mandela kwa kukumbatia roho yake ya ubinadamu, utu na haki.