Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Niger

  • Waniger waandamana kutaka majeshi ya kigeni yaondoke nchini mwao

    Waniger waandamana kutaka majeshi ya kigeni yaondoke nchini mwao

    Apr 14, 2024 11:10

    Mamia ya watu wameshiriki katika maandamano ya kupinga uwepo wa majeshi ya kigeni nchini Niger, vikiwemo vikosi vya jeshi vya Marekani ambayo ina kambi ya kijeshi kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Hatua ya serikali ya Niger ya kufuta makubaliano ya kijeshi na Marekani

    Hatua ya serikali ya Niger ya kufuta makubaliano ya kijeshi na Marekani

    Mar 20, 2024 02:36

    Amadou Abdurrahman, Msemaji wa Serikali ya Niger, ametangaza kupitia taarifa kwamba nchi hiyo imefuta makubaliano yote ya kijeshi na Marekani ambayo yaliruhusu nchi hiyo ya Magharibi kuweka majeshi yake katika ardhi ya Niger.

  • Abdollahian: Iran ina azma ya kuimarisha uhusiano na Niger

    Abdollahian: Iran ina azma ya kuimarisha uhusiano na Niger

    Mar 18, 2024 13:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa serikali ya Rais Ebrahim Raisi ina hamu ya kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano na nchi za Afrika ikiwemo Niger.

  • Niger yavunja mkataba wa ushirikiano wa kijeshi na Marekani

    Niger yavunja mkataba wa ushirikiano wa kijeshi na Marekani

    Mar 17, 2024 05:50

    Serikali ya Niger imetangaza kwamba "bila kupoteza muda" inavunja makubaliano yake ya ushirikiano wa kijeshi na Marekani.

  • Mali, Niger na Burkina Faso zaunda muungano wa kijeshi

    Mali, Niger na Burkina Faso zaunda muungano wa kijeshi

    Mar 08, 2024 07:22

    Mali, Niger na Burkina Faso zimetangaza habari ya kuunda kikosi cha pamoja cha jeshi kitakachosaidia kukabiliana na utovu wa usalama uliosababishwa na harakati za makundi ya kigaidi katika nchi hizo za Afrika Magharibi.

  • Baada ya Niger, ECOWAS yaiondolea vikwazo Guinea

    Baada ya Niger, ECOWAS yaiondolea vikwazo Guinea

    Feb 26, 2024 11:46

    Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeamua kuondoa vikwazo ilivyokuwa imeiwekea Guinea.

  • Jumuiya ya ECOWAS yaiondolea vikwazo Niger

    Jumuiya ya ECOWAS yaiondolea vikwazo Niger

    Feb 25, 2024 09:51

    Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS imetangaza habari ya kuiondolea Niger vikwazo vya kiuchumi na kifedha.

  • Burkina Faso, Mali na Niger zatupilia mbali kanuni ya kubaki kwenye ECOWAS kwa muda wa mwaka mmoja

    Burkina Faso, Mali na Niger zatupilia mbali kanuni ya kubaki kwenye ECOWAS kwa muda wa mwaka mmoja

    Feb 08, 2024 11:39

    Siku kumi baada ya kutangaza kujitoa katika Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS, Burkina Faso, Mali na Niger zimetangaza kuwa, zinakusudia kujiondoa mara moja, licha ya kuwepo kanuni inayozitaka zibaki katika jumuiya hiyo kwa muda wa mwaka mmoja kabla ya kutekeleza rasmi uamuzi huo.

  • Kujiondoa Mali, Niger na Burkina Faso kwenye Jumuia ya ECOWAS

    Kujiondoa Mali, Niger na Burkina Faso kwenye Jumuia ya ECOWAS

    Jan 30, 2024 07:22

    Nchi tatu za Niger, Burkina Faso na Mali zimetangaza kujiondoa kwenye Jumuia ya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika ECOWAS kutokana na kutokuwa na imani na siasa na sera za jumuia hiyo.

  • Mali, Burkina Faso na Niger zajiondoa kwenye jumuiya ya ECOWAS

    Mali, Burkina Faso na Niger zajiondoa kwenye jumuiya ya ECOWAS

    Jan 29, 2024 03:03

    Tawala za kijeshi katika nchi za Mali, Burkina Faso na Niger zimetangaza kuyaondoa 'mara moja' mataifa kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS