Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Nigeria

  • ICC yataka maelezo kuhusu mauaji ya Waislamu wa Shia nchini Nigeria

    ICC yataka maelezo kuhusu mauaji ya Waislamu wa Shia nchini Nigeria

    Nov 17, 2016 12:30

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeitaka serikali ya Nigeria kutoa maelezo kuhusu mauaji yaliyofanywa mwaka jana na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Zaria.

  • UN: Watu milioni 14 watahitajia msaada wa dharura Nigeria 2017

    UN: Watu milioni 14 watahitajia msaada wa dharura Nigeria 2017

    Nov 16, 2016 10:46

    Umoja wa Mataifa umesema watu milioni 14 watahitajia msaada wa dharura mwaka ujao wa 2017 kaskazini mwa Nigeria na kwamba makumi ya maelfu ya watoto wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na njaa katika eneo hilo ambalo lilikuwa ngome ya kundi la wanamgambo wa Boko Haram.

  • Al Azhar: Uislamu umempa heshima kubwa mwanamke

    Al Azhar: Uislamu umempa heshima kubwa mwanamke

    Nov 16, 2016 04:25

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri amesema kuwa, dini tukufu ya Kiislamu imempa heshima kubwa sana mwanamke na kutukuza nafasi yake muhimu katika jamii.

  • Watu 31 wauawa katika mapigano ya kikabila huko katika jimbo la Kaduna, Nigeria

    Watu 31 wauawa katika mapigano ya kikabila huko katika jimbo la Kaduna, Nigeria

    Nov 15, 2016 10:15

    Duru za afya katika jimbo la Kaduna, kaskazini mwa Nigeria, zimearifu juu ya kujiri mapigano makali ya kikabila na kupelekea makumi ya watu kuuawa na wengine kujeruhiwa.

  • Iran yalaani mauaji ya Waislamu  nchini Nigeria

    Iran yalaani mauaji ya Waislamu nchini Nigeria

    Nov 15, 2016 10:11

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hatua ya Jeshi la Nigeria kuwashambulia na kuwaua Waislamu waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS.

  • Kushambuliwa Waislamu na jeshi la Nigeria

    Kushambuliwa Waislamu na jeshi la Nigeria

    Nov 15, 2016 07:42

    Katika kuendelea vitendo vya mauaji vya jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu, kwa mara nyingine Waislamu wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika wameshambuliwa na jeshi.

  • Jeshi Nigeria laua Waislamu 100 wa madhehebu ya Shia mjini Kano

    Jeshi Nigeria laua Waislamu 100 wa madhehebu ya Shia mjini Kano

    Nov 14, 2016 12:46

    Waislamu wasiopungua 100 wa madhehebu ya Shia wameuawa leo nchini Nigeria kwa kupigwa risasi na jeshi la nchi hiyo.

  • Bomoabomoa na machafuko yawafanya watu 30,000 wabaki bila makaazi Lagos, Nigeria

    Bomoabomoa na machafuko yawafanya watu 30,000 wabaki bila makaazi Lagos, Nigeria

    Nov 11, 2016 04:38

    Watu wapatao 30,000 wamebaki bila makaazi kufuatia zoezi la ubomoaji nyumba lililotekelezwa kwa amri ya serikali ya Nigeria pamoja na fujo na mapigano yaliyohusisha wakaazi wa jamii hasimu za maeneo ya mabanda katika jiji kuu la nchi hiyo Lagos.

  • Harakati ya Kiislamu Nigeria yataka wananchi kudumisha maandamano ya amani dhidi ya serikali

    Harakati ya Kiislamu Nigeria yataka wananchi kudumisha maandamano ya amani dhidi ya serikali

    Nov 09, 2016 10:27

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imewataka wananchi wa nchi hiyo kudumisha maandamano ya amani dhidi ya serikali ya nchi hiyo ili kushinikiza suala la kuachiwa huru kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeendelea kushikiliwa katika korokoro za nchi hiyo.

  • Mashia Nigeria: Serikali inapanga kutuhujumu wakati wa Arubaini ya Imam Hussein AS

    Mashia Nigeria: Serikali inapanga kutuhujumu wakati wa Arubaini ya Imam Hussein AS

    Nov 09, 2016 04:24

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imesema vyombo vya usalama nchini humo vinapanga kuwashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia wakati wa Arubaini ya Imam Hussein AS.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS