-
Nigeria yaahidi kupunguza vikwazo vya ECOWAS dhidi ya Niger
Aug 30, 2023 09:54Msemaji wa ofisi ya rais wa Nigeria amesema nchi hiyo pamoja na Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS zitapunguza baadhi ya vikwazo zilivyoiwekea Niger.
-
Kiongozi wa mapinduzi Niger: Niko tayari kumwachia huru Bazoum
Aug 24, 2023 23:38Kiongozi wa mapinduzi nchini Niger, Jenerali Abdourahamane Tiani, amekutana na ujumbe wa wanazuoni wa Kiislamu wa Nigeria, huku mashinikizo za kikanda na kimataifa yakiongezeka dhidi ya utawala wa kijeshi wa Niamey kwa shabaha ya kurejesha utawala wa kikatiba.
-
Zakzaky: US, Ufaransa zinataka kuibua uhasama baina ya Nigeria na Niger
Aug 19, 2023 07:00Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametahadharisha juu ya njama na majungu yanayopikwa na Marekani na Ufaransa ya kupanda mbegu za chuki, uhasama na mifarakano baina ya Nigeria na jirani yake Niger.
-
Maelfu ya Wanigeria waandamana kupinga mashambulizi ya ECOWAS dhidi ya Niger
Aug 13, 2023 04:51Maelfu ya watu nchini Nigeria wamefanya maandamano wakipinga uwezekano wa mashambulizi ya kijeshi ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Kanda ya Afrika Magharibi, (ECOWAS) nchini Niger.
-
Nigeria yatakiwa irejesha umeme Niger na ipunguze vikwazo
Aug 12, 2023 23:05Wakili mwandamizi nchini Nigeria na mwanaharakati wa haki za binadamu Femi Falana ametoa wito kwa Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) , kurejesha umeme nchini Niger na kupunguza vikwazo vilivyowekwa kwa nchi hiyo kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya hivi karibuni.
-
Waislamu Nigeria waandamana kulaani kuchomwa moto Qurani
Jul 27, 2023 06:51Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano kulaani vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya.
-
Makumi wauawa katika shambulizi la magaidi wa ISWAP Nigeria
Jul 27, 2023 06:49Makumi ya watu wameuawa nchini Nigeria katika shambulizi la kundi la kigaidi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).
-
Waislamu Uganda na Nigeria walaani kuchomwa moto Qurani Tukufu Sweden
Jul 04, 2023 04:21Baraza Kuu la Waislamu nchini Uganda (UMSC) limelaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden, huku uhalifu huo mkubwa wa kukichoma moto kitabu hicho kitakatifu katika nchi hiyo ya Magharibi ukiendelea kulaaniwa vikali na Waislamu kote duniani.
-
Bomba la shell lachafua mashamba, mto huko Niger Delta, Nigeria
Jun 27, 2023 01:10Kusambaa mafuta kwa mara nyingine tena kutoka kituo cha Shell nchini Nigeria kumechafua mashamba na mto, na hivyo kukwamisha shughuli za maisha za wavuvi na wakulima katika jimbo la Niger Delta huko Nigeria, raia ambao kwa muda mrefu wamevumilia uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na sekta ya mafuta.
-
Rais wa Nigeria afanya mabadiliko makubwa; apangua safu ya wakuu wa usalama
Jun 20, 2023 03:10Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais wa Nigeria imeeleza kuwa Rais Bola Ahmed Tinubu wa nchi hiyo amewateua makamanda wapya wa vikosi vya jeshi la taifa, wanamaji na jeshi la anga.