-
Watu 13 wauawa katika mapigano kati ya jamii za wafugaji na wakulima, Nigeria
Jun 19, 2023 05:22Jimbo la Plateau katikati ya Nigeria katika wiki za karibuni lilikumbwa tena na machafuko kati ya jamii za wafugaji na wakulima wakigombania umiliki na ardhi na maliasili.
-
Takriban watu 150 wafariki dunia baada ya boti kuzama nchini Nigeria
Jun 17, 2023 04:48Takriban watu 150 wamepoteza maisha baada ya mashua waliyokuwa wamepanda kupinduka katika jimbo la Kwara, magharibi mwa Nigeria.
-
Rais wa Nigeria amsimamisha kazi mkuu wa kupambana na ufisadi
Jun 15, 2023 22:59Rais Bola Tinubu wa Nigeria amemsimamisha kazi Mkuu wa Kamisheni ya Kupambana na Ufisadi ya nchi hiyo ambaye alikuwa akichunguzwa kwa tuhuma za kutumia vibaya madaraka. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya Nigeria.
-
Rais wa Nigeria awataka wananchi kuwa watulivu kufuatia kuondolewa ruzuku ya mafuta
Jun 13, 2023 01:09Rais Bola Tinubu wa Nigeria jana aliwatolea wito wananchi kukubali kujitolea zaidi kwa ajili ya uwekezaji wa baadaye baada ya serikali yake kuhitimisha ruzuku ya muda mrefu ya mafuta katika hatua ambayo imesababisha kupanda kwa bei ya petroli, usafiri na vyakula nchini humo.
-
Sheikh Zakzaky: Bado tunahitaji fikra za Imam Ruhullah Khomeini
Jun 04, 2023 02:48Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametangaza kuwa, licha ya kupita miaka 34 tangu kuaga dunia Imam Ruhullah Khomeini, fikra za mwasisi huyo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado ziko hai.
-
Bola Tinubu aapishwa kuwa Rais mpya wa Nigeria
May 29, 2023 07:18Bola Ahmed Tinubu ameapishwa kuwa Rais wa tano wa Nigeria tokea kurejea kwa utawala wa demokrasia nchini humo mwaka 1999; huku akiwahijiwa na changamoto nyingi za kiuchumi na kiusalama.
-
Kwa akali watu 30 wameuawa katika mashambulizi kaskazini mwa Nigeria
May 17, 2023 02:48Watu waliokuwa na silaha wameshambulia vijiji kadhaa katika jimbo la Plateau hujko nchini Nigeria na kupelekea mauaji ya watu wasiopungua 30.
-
Watu 15 waaga dunia baada ya boti kuzama Nigeria; 25 hawajulikani walipo
May 11, 2023 07:53Sanusi Abubakar msemaji wa polisi katika jimbo la Sokoto nchini Nigeria ameripoti kuwa watu 15 wamepoteza maisha baada ya boti kuzama Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Polisi ya Nigeria yafyatua risasi Siku ya Quds na kuua mtu mmoja
Apr 15, 2023 03:04Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa baada ya polisi kufyatua risasi katika maandamano ya kila mwaka ya Siku ya Kimataifa ya Al-Quds katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja na mji wa Kaduna.
-
Miaka tisa baada ya utekaji Chibok, UNICEF yataka wanafunzi walindwe Nigeria
Apr 14, 2023 22:40Ikiwa imepiita miaka tisa tangu wasichana 276 watekwe nyara wakiwa katika shule ya bweni huko Chibok, Nigeria, ambapo mpaka sasa 96 bado wapo utumwani, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetaka wadau kusaidia katika kuwekeza zaidi katika usalama wa wanafunzi mashuleni kwani bado vitendo vya utekaji nyara vinaendelea nchini humo.