-
Watoto wa Nigeria watangaza mshikamano wao na watoto wa Palestina
Apr 07, 2023 23:50Watoto wa Nigeria wamekusanyika katika mikoa ya Kaduna na Bauchi na kupiga nara za kuwaunga mkono na kuwatetea watoto wenzao wa Kipalestina, hasa wale wanaoishi katika eneo la Ukanda wa Gaza.
-
Harakati ya Kiislamu Nigeria: Shekh Zakzaky agawa misaada ya chakula kwa wahitaji
Apr 02, 2023 23:51Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa imegawa vifurushi mbaimbali bidhaa za chakula kwa watu wanohitajia nchini humo.
-
Matokeo ya mashambulizi dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky nchini Nigeria
Mar 19, 2023 22:47Mashinikizo dhidi ya Waislamu wa Nigeria na wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky bado yanaendelea. Kuhusiana na hilo, vikosi vya usalama katika jimbo la Kaduna vimewaua watu wasiopungua 6 katika shambulio dhidi ya wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Wafuasi 5 wa Sheikh Zakzaky wauawa katika hujuma ya polisi, Kaduna, Nigeria
Mar 17, 2023 03:27Askari usalama wa jimbo la Kaduna wamewaua watu wasiopungua 5 katika shambulizi dhidi ya wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN).
-
Boko Haram yafanya mashambulizi ya kushtukiza na kuua 26 Borno, Nigeria
Mar 10, 2023 03:46Kwa akali watu 26 wameuawa katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia mashambulio ya kushtukiza yaliyofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram.
-
Waislamu Nigeria waadhimisha kumbukumbu ya mazazi ya Imam Mahdi (AF)
Mar 08, 2023 06:56Waislamu wa madhehebu ya Shia na wafuasi na wapenzi wa Ahlu Bait (AS) nchini Nigeria wamejiunga na wenzao kote duniani katika maadhimisho ya kukumbuka kuzaliwa Imam wa Zama, Mahdi (AF).
-
Ushindi wa mgombea wa chama tawala katika uchaguzi wa Nigeria na mustakbali wa nchi hiyo
Mar 01, 2023 10:39Kwa mujibu wa tangazo la Tume Huru ya Uchaguzi ya Nigeria (INEC), "Bola Ahmed Tinubu" aliyekuwa mgombea wa chama tawala cha "All Progressives Congress" ameshinda uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Tinubu wa chama tawala Nigeria atangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais
Mar 01, 2023 00:38Mgombea wa chama tawala nchini Nigeria, Bola Tinubu ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi iliyopita.
-
Wananchi wa Nigeria wapiga kura kuchagua Rais mpya na Wabunge
Feb 25, 2023 03:48Mamilioni ya wapigakura nchini Nigeria wameelekea katika masanduku ya kupigia kura leo Jumamosi kushiriki uchaguzi wa rais wenye mchuano mkali, kumtafuta mrithi wa Muhammadu Buhari, ambaye anamaliza mihula yake miwili ya uongozi.
-
Atiku Abubakar Mgombea kiti cha urais Nigeria anajaribu tena karata yake katika uchaguzi wa Jumamosi
Feb 22, 2023 23:37Atiku Abubakar Makamu wa Rais wa zamani wa Nigeria kwa mara nyingine tena anawania wadhifa wa ngazi ya juu katika uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo uliopangwa kufanyika Jumamosi keshokutwa.