• Onyo la Putin kuhusu kuwekwa makombora mapya ya Marekani barani Ulaya na Asia

    Onyo la Putin kuhusu kuwekwa makombora mapya ya Marekani barani Ulaya na Asia

    Dec 18, 2024 11:07

    Rais Vladimir Putin wa Russia, ametoa onyo kuhusu kuwekwa makombora ya masafa ya kati na mafupi ya Marekani barani Ulaya na Asia, akisisitiza kwamba nchi yake itatoa jibu la pande zote kwa hatua hiyo. Putin amesema, mpango wa Washington wa kuweka makombora barani Ulaya unaitia wasiwasi mkubwa Moscow.

  • Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu chokochoko tarajiwa ya Israel

    Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu chokochoko tarajiwa ya Israel

    Oct 21, 2024 02:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Onyo la UN kuhusu ongezeko la vyama vya mrengo wa kulia barani Ulaya

    Onyo la UN kuhusu ongezeko la vyama vya mrengo wa kulia barani Ulaya

    Jul 06, 2024 02:36

    Volker Turk, Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, alionya Jumatano wiki hii kuhusu kuibuka kwa vyama vya mrengo wa kulia vyenye misimamo ya kufurutu mipaka barani Ulaya na kuhatarishwa haki za wahamiaji na wakimbizi.

  • Umoja wa Mataifa watoa onyo kali kuhusu kuongezeka majanga katika Ukanda wa Gaza

    Umoja wa Mataifa watoa onyo kali kuhusu kuongezeka majanga katika Ukanda wa Gaza

    Jun 21, 2024 02:14

    Francesca Albanese, Ripota wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina, amesema katika taarifa kwamba hali ya maafa huko Ukanda wa Gaza imezidi kuwa mbaya. Kwa kauli yake, utawala haramu wa Israel unalenga misafara ya misaada ya kibinadamu inayotumwa Gaza na kuzuia ufikaji wa misaada katika ukanda huo.

  • Onyo jipya kuhusu kuingia  NATO katika vita vya Ukraine

    Onyo jipya kuhusu kuingia NATO katika vita vya Ukraine

    Apr 23, 2024 04:25

    Viktor Orbán, Waziri Mkuu wa Hungary amesema katika taarifa kwamba viongozi wa Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Kujihami ya Kijeshi ya Magharibi (NATO) wanauchukulia mzozo wa Moscow na Kyiv kuwa ni wao na wala hawazingatii hatari ya kujihusisha na mzozo huo. Ameonya kuwa NATO inakaribia kutuma askari wake huko Ukraine.

  • Onyo la Iran kwa Marekani na Magharibi kuhusu madhara yatakayozipata zikiiunga mkono Israel

    Onyo la Iran kwa Marekani na Magharibi kuhusu madhara yatakayozipata zikiiunga mkono Israel

    Apr 15, 2024 12:02

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeionya na kuitahadharisha Marekani na nchi za Magharibi juu ya kuuunga mkono kijeshi utawala wa Kizayuni na kufanya chokochoko dhidi ya Iran na kutangaza kwamba, iwapo nchi hizo zitaingilia kati katika kuuunga mkono utawala wa Kizayuni, vituo vyao vyote na maeneo yote ya maslahi yao yatashambuliwa na vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Ushindi wa mtetezi wa Palestina katika uchaguzi wa Bunge la Uingereza na onyo kali la Sunak

    Ushindi wa mtetezi wa Palestina katika uchaguzi wa Bunge la Uingereza na onyo kali la Sunak

    Mar 03, 2024 02:15

    Licha ya kuwa Uingereza inahesabiwa kuwa ni miongoni mwa waungaji mkono wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, lakini mielekeo ya kisiasa na kijamii inaashiria kwamba waungaji mkono wa Wapalestina wanazidi kupata nguvu katika nchi hiyo ya Ulaya, suala ambalo limeibua onyo la Waziri Mkuu wa kihafidhina wa Uingereza, Rishi Sunak.

  • Indhari ya Uhispania kuhusu matukio ya eneo na ya kimataifa ya vita vya Gaza

    Indhari ya Uhispania kuhusu matukio ya eneo na ya kimataifa ya vita vya Gaza

    Jan 19, 2024 03:27

    Pedro Sánchez, Waziri Mkuu wa Uhispania ameonya kuwa, usalama na uthabiti wa eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) umekuwa hatarini na kwamba, mashambulizi haya yanahatarisha nidhamu na uratibu wa ushirikiano wa pande kadhaa.

  • Onyo la Moscow kuhusu kuendelea vita vya Ukraine mwaka 2024

    Onyo la Moscow kuhusu kuendelea vita vya Ukraine mwaka 2024

    Dec 01, 2023 07:59

    Licha ya kupita karibu miezi 22 tangu kuanza vita vya umwagaji damu nchini Ukraine, lakini hakuna matumaini yoyote yanayoashiria kumalizika mzozo huo hivi karibuni. Hii ni katika hali ambayo nchi za Magharibi kwa sasa zimeshughulishwa na vita vya Gaza na hivyo kutozingatia sana vita vya Ukraine, jambo ambalo limeipelekea serikali yenye mielekeo ya Kimagharibi ya Kyiv kukata tamaa kuhusu kupata misaada zaidi ya nchi hizo.

  • Indhari ya Borrell kuhusu uwezekano wa kusambaratika Umoja wa Ulaya

    Indhari ya Borrell kuhusu uwezekano wa kusambaratika Umoja wa Ulaya

    Sep 24, 2023 02:20

    Josep Borrell Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametahadharisha kuwa umoja huo unakabiliwa na mgawanyiko mkubwa kuhusu sera za uhamiaji na kwamba suala hilo linaweza kuufanya Umoja wa Ulaya uvunjike.