-
Indhari ya Antonio Guterres kuhusu kubadilika vita vya Ukraine na kuwa vita vya dunia
Feb 08, 2023 03:17Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, hatua zozote za kuchochea mgogoro wa Russia na Ukraine huenda zikaitumbukiza dunia katika vita vipana na vikubwa zaidi.
-
Onyo la Russia kwa Netanyahu kuhusu msaada wa silaha kwa Ukraine
Feb 04, 2023 02:14Russia imeuonya vikali utawala haramu wa Israel baada ya Waziri Mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu kutangaza Jumatano usiku kwamba anachunguza suala la kutuma msaada wa kijeshi wa utawala huo nchini Ukraine.
-
Onyo la Russia kwa NATO kuhusu kuipa Ukraine mfumo wa makombora wa Patriot
Dec 15, 2022 09:15Serikali ya Russia imetangaza kuwa, uamuzi wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO wa kuipa Ukraine mfumo wa kujilinda kwa makombora wa Patriot umechukuliwa kwa lengo la kuishambulia Russia na hiyo ina maana ya kuihalalishia Moscow kuzishambulia nchi wanachama wa NATO.
-
Onyo la Russia kuhusu Wamagharibi kutuma magaidi nchini Ukraine
Nov 04, 2022 12:15Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, Nikolay Patrushev, ametangaza kuwa Marekani na Uingereza zinasajili na kuajiri magaidi wa kimataifa kwa ajili ya kushirikiana na jeshi la Ukraine katika vita dhidi ya Russia.
-
Onyo la Iran kwa Umoja wa Ulaya
Oct 07, 2022 10:57Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano alifanya mazungumzo kwa njia ya simu na Josep Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya.
-
Onyo la Katibu Mkuu wa UN la kutokea vita vya nyuklia duniani
Aug 03, 2022 08:22Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu hatari ya kutokea vita vya nyuklia duniani. Alitoa onyo hilo Jumatatu, Agosti 1, 2022 wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kuangaliwa Upya Mkataba wa NPT wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia.
-
Onyo jipya la kijeshi la Marekani kwa China
Apr 25, 2022 02:18Mashindano ya kijeshi na kiusalama baina ya Marekani na China katika eneo la Indo-Pasifiki yamechukua muelekeo mpya kutokana na jitihada za pande mbili za kujiimarisha kijeshi katika eneo hilo muhimu kistratijia.
-
Russia yaonya kuhusu kutumwa magaidi wa ISIS nchini Ukraine
Mar 06, 2022 04:49Idara ya Ujasusi wa Nje ya Russia (SVR) imesema katika taarifa yake ya siku ya Ijumaa kwamba Marekani inawapa mafunzo magaidi wa Daesh (ISIS) katika kituo cha Al-Tanf nchini Syria ili wapelekwe Ukraine.
-
Kuongezeka indhari kuhusu uwezekano wa kutokea vita mashariki mwa Ulaya
Feb 12, 2022 10:13Nchi za Magharibi zinaendelea kutoa tahadhari mbalimbali kuhusu uwezekano wa Russia kuishambulia Ukraine kufuatia kuongezeka mivutano huko Ulaya Mashariki kati ya Moscow na Kiev.
-
Onyo la Rais wa Russia la kutoa jibu kijeshi kwa hatua za Marekani barani Ulaya
Dec 23, 2021 02:50Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi yake ina haki kamili ya kujihami dhidi ya hatua zisizo za kirafiki za Marekani na akabainisha kwamba Moscow itachukua hatua mwafaka za kijeshi na kiufundi juu ya suala hilo.