Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Liverpool FC yawatetea Wapalestina, yakataa udhamini wa Puma kutokana na ushirikiano wake na Israel

    Liverpool FC yawatetea Wapalestina, yakataa udhamini wa Puma kutokana na ushirikiano wake na Israel

    Jan 14, 2020 03:20

    Klabu ya soka ya Uingereza, Liverpool imekataa ufadhili wa kifedha wa kampuni ya Puma ikipinga ushirikiano wa kampuni hiyo na utawala haramu wa Israel. Liverpool imechukua hatua hiyo kutokana na mashinikizo ya mashabiki wa klabu hiyo wanaopinga mauaji na ukatili unaofanywa na Israel dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina.

  • Ripoti: Israel iliwateka nyara Wapalestina 5,500 mwaka 2019

    Ripoti: Israel iliwateka nyara Wapalestina 5,500 mwaka 2019

    Jan 01, 2020 04:33

    Shirika moja la kutetea haki za wafungwa limefichua kuwa, kwa akali Wapalestina 5,500 walitekwa nyara au kutiwa mbaroni na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel mwaka uliomalizika wa 2019.

  • Hamas yakataa mapatano ya aina yoyote na utawala wa Kizayuni

    Hamas yakataa mapatano ya aina yoyote na utawala wa Kizayuni

    Dec 29, 2019 04:35

    Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas amepinga kufikiwa mapatatano yoyote kati ya harakati hiyo na utawala wa Kizayuni kwa ajili ya kutoa suhula mbalimbali huko Ghaza mkabala na Hamas kusitisha uvurumishaji wa makombora katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Israel yatishia kuwaua kigaidi viongozi wa Palestina

    Israel yatishia kuwaua kigaidi viongozi wa Palestina

    Dec 27, 2019 21:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mara nyingine ametishia kuwaua kigaidi viongozi wa Palestina.

  • Kuendelea utata kuhusu kufanyika uchaguzi wa Palestina

    Kuendelea utata kuhusu kufanyika uchaguzi wa Palestina

    Dec 27, 2019 06:49

    Baada ya kupita zaidi ya miezi mitatu tokea Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) atangaze azma ya kufanyika uchaguzi, bado kunaendelea kushuhudiwa utata na hitilafu kuhusu kadhia hiyo.

  • Ijumaa tarehe 27 Disemba 2018

    Ijumaa tarehe 27 Disemba 2018

    Dec 26, 2019 22:54

    Leo ni Ijumaa tarehe 30 Rabiuthani 1441 Hijria sawa na Disemba 27 mwaka 2019.

  • Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea + Video

    Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea + Video

    Dec 26, 2019 08:23

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, utawala wa Kizayuni ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea kutokana na mashambulizi yake ya mara kwa mara katika Ukanda wa Ghaza.

  • UN yatiwa wasiwasi na ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi ya Palestina

    UN yatiwa wasiwasi na ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi ya Palestina

    Dec 24, 2019 04:30

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika Mashariki ya Kati amesema kuwa, mwenendo wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi na Quds Mashariki huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu umeongezeka kwa asilimia 70 mwaka huu ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake.

  • Waziri wa Israel aitaka Tel Aviv kubomoa kijiji kimoja cha Wapelestina kila siku

    Waziri wa Israel aitaka Tel Aviv kubomoa kijiji kimoja cha Wapelestina kila siku

    Dec 22, 2019 23:13

    Waziri wa Usafirishaji wa Israel ametoa wito wa kuvunjwa kijiji kimoja cha Palestina kila siku na kuangamiza kabisa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ikiwa ni katika kulipiza kisasi dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kuanza uchunguzi kuhusu jinai zilizofanywa na utawala wa Israel katika Ukingo wa Magharibi ikiwemo Quds na Ukanda wa Gaza.

  • Netanyahu apongeza juhudi za Imarati za kuimarisha uhusiano na Israel

    Netanyahu apongeza juhudi za Imarati za kuimarisha uhusiano na Israel

    Dec 22, 2019 10:33

    Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amepongeza jitihada zinazofanywa na Umoja wa Falme za Kiarabu za kutaka kuimarisha na kufanya wa kawaida uhusiano wa utawala huo pandikizi na baadhi ya nchi za Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS