-
Jeshi katili la Israel lawaua shahidi Wapalestina katika Siku ya Quds
May 31, 2019 23:27Kwa akali Wapalestina wawili waliuawa shahidi na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jana Ijumaa, wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Rouhani: Wananchi wa Iran kamwe hawataiacha pekee Quds na madhulumu wa kihistoria
May 29, 2019 08:42Rais wa Iran ameeleza kuwa wananchi wa Iran kamwe hawataiacha pekee Quds na madhulumu wa kihistoria na kuongeza kuwa: Wananchi wa Iran mwaka huu pia watashiriki kwa wingi na kwa hamasa katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds na watatangaza kuwa wataendelea kuwa imara na kusimama kidete hadi kupata ushindi mbele ya madhalimu.
-
Muamala wa Karne; muamala muovu na jinai dhidi ya haki za taifa la Palestina
May 29, 2019 02:38Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa "Muamala wa Karne" uliopendekezwa na Marekani kuhusu Palestina ni muamala muovu sana na kwamba kikao kilichopangwa kufanyika mwezi ujao huko Bahrain kujadili mpango huo nacho kitatumbukia kwenye moto wa jahannam kama ilivyo kwa muamala huo wa karne.
-
Spika wa Bunge la Iran akosoa njama za Wamagharibi dhidi ya Wapalestina
May 26, 2019 23:57Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amekosoa vikali njama za nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani zilizopewa jina la 'Muamala wa Karne' dhidi ya Wapalestina, huku akitoa mwito wa mahudhurio makubwa katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.
-
Kamisheni: Israel imewakamata watoto 16,500 wa Kipalestina
May 26, 2019 23:52Ripoti mpya imefichua kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umewatia mbaroni watoto 16,500 tangu ilipoanza Intifadha ya Pili mwishoni mwa mwaka 2000.
-
Qatar: Amani ya Palestina sharti ijumuishe suluhu inayokubaliwa na Wapalestina
May 25, 2019 05:48Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar sambamba na kukosoa mpango wa kufanyika mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain, imesema matakwa ya wananchi wa Palestina lazima yajumuishe kwenye mipango yoyote ya amani na maendeleo inayowahusu.
-
Kufungwa UNRWA; takwa jipya la Marekani dhidi ya Palestina
May 24, 2019 00:11Rais Donald Trump wa Marekani alipoingia katika ikulu ya nchi hiyo White House, alichukua msimamo wa kuiunga mkono Israel bila ya masharti yoyote na wakati huo huo kudhihirisha uhasama wa waziwazi dhidi ya Wapalestina.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia: Amani ya dunia inategemea amani ya Palestina
May 23, 2019 23:11Waziri Mkuu wa Malaysia, Mahathir Mohammed amesema iwapo dunia inataka kushuhudiwa amani endelevu, sharti kadhia ya Palestina ipatiwe ufumbuzi.
-
Palestina: Mkutano wa US nchini Bahrain ni wa kuboresha uhusiano wa Waarabu na Israel
May 22, 2019 03:39Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imekosoa vikali mpango wa kufanyika mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain ikisisitiza kuwa kongamano hilo halina lengo jingine ghairi ya kuandaa mazingira ya kuimarisha na kufanya wa kawaida uhusiano kati ya Waarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Jordan yaombwa isishiriki mkutano wa Marekani nchini Bahrain
May 21, 2019 23:13Serikali ya Jordan imetakiwa kutoshiriki mkutano wa Marekani wenye lengo la kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain.