-
Bunge la Israel lapasisha sheria ya ubaguzi, Wabunge Waarabu wahamaki
Jul 19, 2018 11:12Bunge la utawala haramu wa Israel (Knesset) limeupasisha muswada wa sheria inayotaka kutambuliwa Israel kama 'dola la Mayahudi pekee' licha ya upinzani mkali na malalamiko kutoka kila pembe ya dunia.
-
Uchunguzi: Israel ilimuua muuguzi wa Kipalestina Gaza kwa makusudi
Jul 18, 2018 02:48Uchunguzi uliofanywa na shirika moja la kutetea haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu umesema jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel lilimuua kwa makusudi muuguzi wa Kipalestina katika Ukanda Ghaza.
-
Hamas yaionya vikali Israel juu ya mzingiro wa Gaza
Jul 17, 2018 02:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na hatua yake ya kuzidisha mzingiro katika Ukanda wa Gaza.
-
Ayatullah Khamenei: "Siasa za Kishetani' za Marekani kuhusiana na Palestina katu hazitafanikiwa
Jul 16, 2018 10:00Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, siasa za kishetani za Marekani kuhusiana na Palestina kamwe hazitafanikiwa.
-
Palestina yaitaka China isaidie utatuzi wa mgogoro wa Mashariki ya Kati
Jul 14, 2018 09:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Palestina ameashiria njama na hatua za ukwamishaji mambo za Marekani katika kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Mashariki ya Kati na kuitaka China isaidie juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro huo.
-
Israel yawadondoshea mabomu Wapalestina wa Gaza
Jul 14, 2018 03:24Kwa mara nyingine tena ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimewadondoshea mabomu Wapalestina kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Umoja wa Ulaya hautambui rasmi kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina
Jul 13, 2018 23:35Msemaji wa mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo hautambui rasmi hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kukali kwa mabavu ardhi za Wapalestina ulizoziteka mwaka 1967.
-
Wamarekani waandamana Washington kutetea Palestina
Jul 13, 2018 22:51Raia wa Marekani wamefanya maandamano mjini Washington wakipinga mpango wa Marekani dhidi ya Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne".
-
Utafiti: Marekani na Israel ndio tishio kuu kwa Waarabu
Jul 13, 2018 03:11Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa, zaidi ya asilimia 75 ya Waarabu wanaitazama Marekani na utawala haramu wa Israel kama tishio kuu kwa usalama wa mataifa yao.
-
UN: Israel imebomoa nyumba 197 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jul 11, 2018 23:40Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa nyumba 197 za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu wa 2018.