-
Palestina yaitaka China isaidie utatuzi wa mgogoro wa Mashariki ya Kati
Jul 14, 2018 09:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Palestina ameashiria njama na hatua za ukwamishaji mambo za Marekani katika kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Mashariki ya Kati na kuitaka China isaidie juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro huo.
-
Israel yawadondoshea mabomu Wapalestina wa Gaza
Jul 14, 2018 03:24Kwa mara nyingine tena ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimewadondoshea mabomu Wapalestina kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Umoja wa Ulaya hautambui rasmi kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina
Jul 13, 2018 23:35Msemaji wa mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo hautambui rasmi hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kukali kwa mabavu ardhi za Wapalestina ulizoziteka mwaka 1967.
-
Wamarekani waandamana Washington kutetea Palestina
Jul 13, 2018 22:51Raia wa Marekani wamefanya maandamano mjini Washington wakipinga mpango wa Marekani dhidi ya Palestina uliopewa jina la "Muamala wa Karne".
-
Utafiti: Marekani na Israel ndio tishio kuu kwa Waarabu
Jul 13, 2018 03:11Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa, zaidi ya asilimia 75 ya Waarabu wanaitazama Marekani na utawala haramu wa Israel kama tishio kuu kwa usalama wa mataifa yao.
-
UN: Israel imebomoa nyumba 197 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jul 11, 2018 23:40Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa nyumba 197 za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu wa 2018.
-
Hadithi ya Uongofu (116)
Jul 11, 2018 08:00Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongo. Kipindi chetu kilichopita kilizungumzia makundi ya watu ambao inaruhusiwa kuwasengenya.
-
Mufti Mkuu wa Beitul-Muqaddas: Ni haramu kuwapatia maadui ardhi za Palestina
Jul 11, 2018 03:10Mufti Mkuu wa Beitul-Muqaddas na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ametangaza kuwa, kuwapatia maadui ardhi za Palestina ambazo ni mali ya Wapalestina ni haramu.
-
HAMAS: Hatujafanya mazungumzo na yeyote kuhusu "Muamala wa Karne"
Jul 09, 2018 21:54Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amekanusha vikali baadhi ya madai kuhusiana na kukubali kujadili viongozi wa harakati hiyo mpango wa "Muamala wa Karne".
-
UN, EU zaitaka Israel isibomoe kijiji cha Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jul 05, 2018 09:38Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya zimeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe mpango wake wa kubomoa kijiji cha Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.