Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • (Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds): Dhulma wanayofanyiwa Wapalestina na madai ya haki za binadamu ya Marekani

    (Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds): Dhulma wanayofanyiwa Wapalestina na madai ya haki za binadamu ya Marekani

    Jun 03, 2018 02:11

    Vitendo vilivyo dhidi ya ubinadamu ambavyo Israel inawafanyia wananchi madhulumu wa Palestina ni miongoni mwa mambo ambayo mara kwa mara yamekuwa yakifanywa ajenda za Baraza la Haki za Binadamu la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa; hata hivyo mara zote Marekani imekuwa ikiingilia kati na kuzuia kupasishwa maazimio ya kimataifa ya kulaani jinai hizo za Israel.

  • Kugonga mwamba njama ya Marekani UN ya kupitisha azimio la kulaani Muqawama wa Palestina

    Kugonga mwamba njama ya Marekani UN ya kupitisha azimio la kulaani Muqawama wa Palestina

    Jun 02, 2018 22:10

    Rasimu ya azimio lililopendekezwa na Marekani, la kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel na kulaani makundi ya muqawama wa Palestina imekataliwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Iran inaunga mkono Palestina katika kutekeleza wajibu wa kidini na kiitikadi

    Iran inaunga mkono Palestina katika kutekeleza wajibu wa kidini na kiitikadi

    Jun 02, 2018 08:49

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina kwa msingi wa kiitikadi na kutekeleza wajibu wa kidini.

  • US yatumia veto kupinga azimio la kutaka kulindwa Wapalestina

    US yatumia veto kupinga azimio la kutaka kulindwa Wapalestina

    Jun 02, 2018 03:18

    Marekani imetumia kura yake ya turufu kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Kuwait katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ikitaka kulindwa Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu.

  • Israel yalegeza msimamo baada ya majibu makali ya wanamapambano wa Palestina

    Israel yalegeza msimamo baada ya majibu makali ya wanamapambano wa Palestina

    May 31, 2018 10:18

    Baada ya wanamapambano wa Palestina kutoa majibu makali dhidi ya mashambulizi ya kivamizi ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni, hatimaye baraza la masuala ya usalama la Israel limesema kuwa, utawala huo hauna nia yoyote ya kuukalia tena kwa mabavu Ukanda wa Ghaza.

  • Mufti wa Palestina: Nchi za Kiislamu zivunje uhusiano na nchi zinazoitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel

    Mufti wa Palestina: Nchi za Kiislamu zivunje uhusiano na nchi zinazoitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel

    May 31, 2018 03:29

    Mufti wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu amezitaka nchi za Kiarabu na Kiislamu zivunje uhusiano wao na nchi zinazoitambua Quds tukufu kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds; kuunga mkono taifa madhulumu la Palestina na majukumu ya Kimataifa

    Kukaribia Siku ya Kimataifa ya Quds; kuunga mkono taifa madhulumu la Palestina na majukumu ya Kimataifa

    May 31, 2018 00:48

    "Ulimwengu wa Kiislamu leo unapaswa kuwa na nafasi ya kimsingi katika masuala muhimu na usiruhusu uzoefu mchungu wa miongo iliyopita na kuenea satwa ya madola makubwa na athari zake za muda mrefu kukaririwa."

  • HRW: Benki za Israel zinafadhili jinai za kivita dhidi ya Wapalestina

    HRW: Benki za Israel zinafadhili jinai za kivita dhidi ya Wapalestina

    May 30, 2018 03:45

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema benki za Israel zinafadhili jinai za kivita za utawala huo wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Israel yawakamata wanaharakati na boti zao Ukanda wa Ghaza

    Israel yawakamata wanaharakati na boti zao Ukanda wa Ghaza

    May 30, 2018 03:06

    Vikosi vya baharini vya utawala wa Kizayuni wa Israel jana vimeusimamisha msafara wa boti za wanaharakati wa Kipalestina waliokuwa na nia ya kuvunja mzingiro wa kidhalimu wa miaka 11 katika Ukanda wa Ghaza.

  • Askari wa Israel wampiga risasi na kumjeruhi vibaya mwanamke kiziwi wa Palestina

    Askari wa Israel wampiga risasi na kumjeruhi vibaya mwanamke kiziwi wa Palestina

    May 28, 2018 21:13

    Askari polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemmiminia risasi na kumjeruhi vibaya mwanamke asiye na uwezo wa kusikia wa Kipalestina katika mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS