-
Wafanyakazi wa Norway wasusia bidhaa za utawala wa Israel
May 13, 2017 09:05Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Norway imetangaza kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kulalamikia ukandamizaji unaofanya na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Hania asifu juhudi za mateka wa Kipalestina za kukomboa Palestina
May 13, 2017 02:56Mkuu mpya wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesifu juhudi za mateka wa Kipalestina za kukomboa ardhi za Palestina na kusisitiza kwamba, kamwe Hamas na wananchi wa taifa hilo madhulumu hawatawasahau.
-
Putin: Uhusiano na Palestina ni muhimu kwa Russia
May 11, 2017 22:41Rais Vladimir Putin wa Russia ameonana na Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na kusema kuwa, nchi yake inalipa umuhimu suala la kuimarisha uhusiano wake na Palestina.
-
Makumi ya Wasudan watangaza himaya yao kwa mateka wa Palestina
May 11, 2017 02:52Makumi ya wananchi wa Sudan wameandamana na kukusanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum na kutangaza himaya na uungaji mkono wao kwa mateka wa Kipalestina.
-
Iran yajadidisha uungaji mkono wake kwa Palestina katika ujumbe kwa Haniya
May 10, 2017 03:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia salamu za pongezi Ismail Haniya kwa kuteuliwa kuwa Mkuu mpya wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas.
-
Jeshi la Israel laua shahidi binti wa Kipalestina wa miaka 16
May 08, 2017 02:30Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamempiga risasi na kumuua shahidi binti wa Kipalestina mashariki mwa Quds Tukufu.
-
Askofu Mkuu wa Kikatoliki ajiunga na mgomo wa kula kuwatetea Wapalestina
May 07, 2017 03:25Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Kanisa Katoliki ameamua kususia kula chakula ili kuonyesha mshikamano na uungaji mkono wake kwa Wapalestina waliosusia kula katika magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waislamu na wanaharakati waandamana London, Uingereza dhidi ya Israel
May 07, 2017 08:52Mamia ya Waislamu nchini Uingereza wamefanya maandamano katika mji mkuu London kulaani ukaliaji wa mabavu na upanuzi wa vitongoji vya walowezi za Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Balozi wa Misri katika Arab League atangaza mshikamano na Wapalestina wanaosusia kula katika jela za Israel
May 05, 2017 02:45Balozi wa Misri katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Arab League, ametangaza mshikamano na wafungwa wa Kipalestina waliogoma kula katika jela za utawala katili wa Kizayuni wa Israel.
-
Wananchi wa Afrika Kusini wasusia kula kuwaunga mkono mateka wa Palestina
May 04, 2017 03:04Wanaharakati, wafungwa wa kisiasa na wananchi wengine wa Afrika Kusini wamesusia kula chakula kuonyesha uungaji mkono wao kwa mateka wa Kipalestina waliosusia kula tangu Aprili 17 wakiwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.