Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Velayati: Matamshi ya Waziri Mkuu wa Uingereza hayana athari za kivitendo

    Velayati: Matamshi ya Waziri Mkuu wa Uingereza hayana athari za kivitendo

    Dec 12, 2016 10:33

    Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, matamshi yaliyo dhidi ya Iran ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika mkutano wa usalama mjini Manama nchini Bahrain hayana athari za kivitendo.

  • Ijumaa tarehe 09 Disemba, 2016

    Ijumaa tarehe 09 Disemba, 2016

    Dec 08, 2016 23:16

    Leo ni Ijumaa tarehe 9 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na tarehe 9 Disemba 2016 Milaadia. 

  • Mamia ya Wapalestina watekwa nyara na Wazayuni

    Mamia ya Wapalestina watekwa nyara na Wazayuni

    Dec 04, 2016 03:53

    Kituo cha Kufuatilia Masuala ya Mateka wa Palestina kimesema kuwa, mamia ya Wapalestina wametekwa nyara na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kipindi cha mwezi ulioisha wa Novemba.

  • Dunia leo inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wapestina

    Dunia leo inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wapestina

    Nov 28, 2016 23:31

    Jumuiya ya Kimataifa ya Amani ya Kiislamu imelaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Palestina na kutangaza kuwa, kuendelezwa siasa za ukandamizaji za utawala huo kutaimarisha zaidi harakati zenye misimamo mikali.

  • Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya haki ya taifa la Palestina ya kujiainishia mustakbali

    Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya haki ya taifa la Palestina ya kujiainishia mustakbali

    Nov 23, 2016 23:32

    Nchi 170 kati ya nchi 193 wanachama wa Kamati ya Kijamii, Kiutamaduni na Kibinadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (SOCHUM) zimeipigia kura ya ndio rasimu ya azimio lenye anwani inayosema, "Haki ya Taifa la Palestina ya Kujiainishia Mustakabali Wake".

  • Hamas: Israel inacheza na moto kwa kupiga marufuku Adhana

    Hamas: Israel inacheza na moto kwa kupiga marufuku Adhana

    Nov 21, 2016 03:58

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia amri yake ya kupiga marufuku adhana na kusema sheria hiyo ni sawa na 'kuchezea moto.'

  • PCC: Mamia ya watoto wa Palestina wanashikiliwa katika jela za Israel

    PCC: Mamia ya watoto wa Palestina wanashikiliwa katika jela za Israel

    Nov 20, 2016 01:15

    Taasisi moja isiyokuwa ya serikali huko Palestina imeripoti kuwa, mamia ya watoto wadogo wa Kipalestina wanashikiliwa katika jela za utawala ghasibu wa Isarel.

  • Baraza la Taifa la Palestina latilia mkazo kuundwa nchi huru ya Palestina

    Baraza la Taifa la Palestina latilia mkazo kuundwa nchi huru ya Palestina

    Nov 16, 2016 10:57

    Baraza la Taifa la Palestina kwa mara nyingine tena limesistiza juu ya ulazima wa kuundwa nchi huru ya Palestina.

  • Donald Trump na Usalama wa Utawala haramu wa Israel

    Donald Trump na Usalama wa Utawala haramu wa Israel

    Nov 12, 2016 04:30

    Siku tatu baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais wa Marekani, kumetolewa kauli kadhaa kuhusu namna Trump anavyoutazama usalama wa Israel.

  • Walowezi wa Kizayuni washambulia tena Masjidul Aqsa

    Walowezi wa Kizayuni washambulia tena Masjidul Aqsa

    Nov 10, 2016 09:54

    Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wamekishambulia kibla cha kwanza cha Waislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS