-
Zarif: Kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu
Nov 08, 2016 12:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Muhammad Javad Zarif amesema kadhia ya Palestina ndio suala kuu kwa Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Jumatatu, 7 Novemba, 2016
Nov 07, 2016 01:04Leo ni Jumatatu tarehe 7 Safari 1438 Hijria sawa na tarehe 7 Novemba 2016.
-
Israel yapiga marufuku adhana Ukingo wa Magharibi, Palestina
Nov 06, 2016 04:08Utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana katika misikiti mitatu magharibi mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo khabithi.
-
Mash'al: Kuna udharura wa kufikiwa umoja wa kitaifa Palestina
Nov 03, 2016 00:24Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa upo udhaura wa kufikiwa umoja wa kitaifa wa Palestina ili kukomesha ukaliaji mabavu wa Israel.
-
Alkhamisi 3 Novemba, 2016
Nov 02, 2016 23:01Leo ni Alkhamisi tarehe 3 Mfunguo Tano Safar 1438 Hijria sawa na Novemba 3, 2016.
-
Tangazo la Balfour, chanzo cha ukosefu wa amani Mashariki ya Kati
Nov 02, 2016 03:46Matatizo yote ya kiusalama yaliyopo hivi sasa katika eneo nyeti la Mashariki ya Kati yanatokana na tangazo la Balfour.
-
Israel imebomoa nyumba 780 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi mwaka huu wa 2016
Oct 28, 2016 23:09Utawala haramu wa Israel umeharibu nyumba 780 za Wapalestina katika eneo unalolikalia kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi wa mto Jordan tokea mwanzoni mwa mwaka huu wa 2016.
-
Viongozi wa Palestina wakutana Doha katika kikao nadra cha kutafuta umoja
Oct 28, 2016 10:34Rais Mahmoud Abbas wa mamlaka ya ndani ya Palestina ameshiriki katika mkutano nadra na viongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Doha, Qatar.
-
Radiamali ya Hamas kwa vitisho vya Waziri wa Vita wa Israel
Oct 25, 2016 04:49Harakati ya Mapambano wa Kiislamu ya Palestina Hamas imepuuzilia mbali vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Avigdor Lieberman, akidai kuwa utawala huo utausambaratisha muqawama wa Wapalestina.
-
Iran yaikosoa Bahrain kwa kuhujumu ofisi ya chama cha Kiislamu cha Al Wefaq
Oct 21, 2016 10:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imebainisha wasi wasi wake mkubwa baada ya vikosi vya utawala wa Bahrain kuvamia ofisi ya chama cha Kiislamu cha Al Wefaq na kusema hatua kama hizo dhidi ya wapinzani ni kosa la kistraitjia.