-
Wazayuni wamuua shahidi kijana Mpalestina Quds Tukufu
Sep 05, 2016 02:56Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi wa Kipalestina katika Quds Tukufu (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na kumuua shahidi kijana Mpalestina.
-
Palestina yaitaka dunia ikomeshe jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Sep 03, 2016 11:43Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ukomeshe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo uliyowapora Wapalestina.
-
Jihad Islami Palestina kuendeleza mapambano ya kukomboa Quds
Sep 02, 2016 10:27Afisa wa ngazi za juu wa harakati ya kupigania ukombozi Palestina ya Jihad Islami amesisitiza udharura wa kuendelezwa mapambano na mwamko (Intifadha) dhidi ya utawala ghasibu wa Israel ili kukomboa ardhi zote za Palestina hasa Quds Tukufu (Jerusalem).
-
Mamia ya Wapalestina wametekwa nyara na wanajeshi wa Israel mwezi uliopita
Sep 01, 2016 23:45Taasisi na duru mbalimbali zinazoshughulikia masuala ya mateka wa Kipalestina wamesema kuwa, Wapalestina 516 wametekwa nyara na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel mwezi uliopita katika mikoa mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Jumapili, 28 Agosti, 2016
Aug 27, 2016 23:59Leo ni Jumapili tarehe 25 Dhil-Qaadah mwaka 1437 Hijria sawa na tarehe 28 Agosti 2016 Miladia.
-
Viongozi wa Palestina kufuatilia haki za Wapalestina waliowekwa kizuizini na utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 27, 2016 03:19Waziri anayehusika na masuala ya Wapalestina walioko kizuizini kwenye jela za utawala wa Kizayuni ametangaza kuwa suala la watu hao litafuatiliwa kwa uzito mkubwa kwenye jumuiya za kimataifa.
-
Onyo la Wapalestina kwa utawala ghasibu wa Israel
Aug 24, 2016 02:00Kushadidi uvamizi na hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza katika siku za hivi karibuni, kumekabiliwa na radiamali mbalimbali za Wapalestina.
-
Jumatano, Agosti 3, 2016
Aug 02, 2016 22:55Leo ni Jumatano tarehe 29 Shawwal 1436 Hijria sawa na Agosti 3, 2016
-
Iran yamkosoa Mahmoud Abbas kwa kufanya kikao na MKO
Aug 02, 2016 02:57Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkosoa vikali Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa kufanya mazungumzo na mkuu wa kundi la kigaidi la Munafikina (MKO).
-
Afrika Kusini yatangaza utayari wa kusimamia mazungumzo ya maridhiano ya kitaifa ya Palestina
Jul 31, 2016 03:09Afrika Kusini imetangaza kuwa iko tayari kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya kufikia maridhiano ya kitaifa baina ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) na harakati ya Fat-h.