-
Mash'al: Upo udharura kwa Wapalestina kuwa kitu kimoja
Jul 29, 2016 22:09Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa damu za mashahidi wa Kipalestina zinatilia mkazo kuwepo umoja kwa lengo la kupambana na adui Mzayuni.
-
Radiamali ya UN kwa vitendo vya kichokozi na kujitanua vya Israel
Jul 26, 2016 03:23Umoja wa Mataifa na viongozi wa Palestina wamelaani vikali mipango ya Israel ya kupanua ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Putin ataka kuundwa nchi huru ya Palestina
Jul 25, 2016 09:53Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina mji mkuu wake ukiwa Quds tukufu.
-
Mgomo wa chakula, radiamali ya mateka wa Palestina kwa mashinikizo ya Israel
Jul 19, 2016 02:56Kuongezeka mashinikizo ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za kuogofya za utawala huo ghasibu, kumewalazimisha Wapalestina hao watumia njia pekee waliyobaki nayo, ya kugoma kula chakula.
-
Wapalestina washiriki mkutano wa ustawi wa biashara wa mjini Nairobi
Jul 17, 2016 11:23Duru za Palestina zimetangaza kuwa, ujumbe wa kiuchumi wa Wapalestina unashiriki katika Mkutano wa 14 wa Biashara na Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNCTAD) unaofanyika mjini Nairobi Kenya.
-
Wazayuni waendelea kuwatia mbaroni raia wa Palestina
Jul 17, 2016 03:24Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameyashambulia maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds inayokaliwa kwa mabavu na kisha kuwatia mbaroni raia kadhaa wa Kipalestina.
-
Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina atembelea Rwanda
Jul 16, 2016 11:32Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, leo Jumamosi ameelekea mjini Kigali Rwanda kwa ajili ya kushiriki mkutano wa nchi za Umoja wa Afrika AU.
-
Sisitizo la chama cha Likud la kuuliwa Wapalestina zaidi
Jul 12, 2016 02:59Licha ya jamii ya kimataifa kulalamikia vikali mashinikizo ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina, kundi moja la wabunge wa utawala huo katili limekutana na kuhimiza kuongezwa mashinikizo ya kisiasa, kijeshi na kiuchumi dhidi ya Wapalestina.
-
Imam wa Al Aqsa: Wapalestina waungane ili wakabiliane na utawala wa Israel
Jul 06, 2016 09:42Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa al Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu ametoa wito kwa Wapalestina kuungana ili waweze kukabiliana na adui wao wa pamoja ambaye ni utawala ghasibu wa Israel.
-
Hamas: Idi ya kweli ya Wapalestina ni kukombolewa Quds tukufu
Jul 06, 2016 03:19Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema kuwa harakati hiyo itadumisha mapambano yake dhidi ya utawala ghasibu wa Israel hadi Palestina itakapokombolewa.