-
Israel yanyakua ardhi zaidi za Wapalestina
Mar 15, 2016 23:27Israel imenyakua kipande kikubwa cha ardhi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hatua ambayo inakiuka sheria za kimataifa zinazoitaka iache kujitanua katika ardhi za Wapalestina.
-
Wazayuni wamzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia kuingia Palestina
Mar 13, 2016 21:54Utawala wa kizayuni wa Israel umemzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Retno Marsudi kuingia katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, ambapo alitazamiwa kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Palestina.
-
Mtoto Mpalestina auawa shahidi Gaza katika hujuma ya Israel
Mar 12, 2016 04:46Mtoto Mpalestina aliyekuwa na umri wa miaka 10 ameuawa shahidi katika hujuma mpya ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Mwanamasumbwi wa Iran akataa kuzipiga na mwenzake wa Israel, aungana na Wapalestina
Mar 10, 2016 22:44Mchezaji wa timu ya taifa ya ndondi ya Iran amekataa kupigana na nchezaji wa ndondi wa utawala haramu wa Israel katika mashindano ya kimataifa ya ndondi ya Njia ya Hariri yanayofanyika Baku nchini Azerbaijan akionyesha uungaji mkono wake kwa taifa linalodhulumiwa la Palestina
-
Nchi za Kiislamu zataka bidhaa za Israel zisusiwe kimataifa
Mar 08, 2016 22:18Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito wa kususiwa bidhaa za zinazozalishwa na utawala haramu wa Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS kuendeleza juhudi za kuleta umoja baina ya Wapalestina
Mar 07, 2016 23:42Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema harakati hiyo itaendelea kufanya juhudi ili ufikiwe umoja na kukombolewa ardhi zote za Palestina.
-
Misimamo ya Iran katika kikao cha wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC)
Mar 07, 2016 23:41Kikao cha tano cha dharura cha wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kilianza Jumatatu ya jana katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta.
-
Israel imeua watoto 41 Wapalestina kwa muda wa miezi mitano
Mar 06, 2016 03:38Utawala haramu wa Israel umeua watoto 41 Wapalestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
-
Kuendelea harakati za kimataifa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi wa Palestina
Mar 01, 2016 23:17Kuendelea hatua zisizo za kibinadamu za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina sambamba na kuendelea mzingiro dhidi ya Gaza na vile vile hujuma na uvamizi wa mara kwa mara wa utawala huo dhidi ya Ukanda wa Gaza unaofanyika kwa baraka za Marekani, kumelifanya eneo hilo kukabiliwa na hali mbaya mno ya kibinadamu.
-
Wapalestina wamkosoa Kenyatta kwa kutembelea Israel
Feb 26, 2016 12:45Maafisa wa serikali ya Palestina wamemkosoa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kutembelea vitongoji haramu huko Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.