-
Sheikh Ikrima Sabri: Israel imeanzisha vita angamizi dhidi ya turathi za Kiislamu, Palestina
Feb 25, 2016 11:58Mufti Mkuu wa msikiti mtukufu wa Al-Aqsa na mkuu wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Baitul Muqaddas ametangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha vita angamizi dhidi ya turathi na athari za Kiislamu za Palestina.
-
Rais wa zamani wa Sudan ataka Waislamu waungane dhidi ya Israel
Feb 24, 2016 11:04Rais wa zamani wa Sudan, Abdurahman Suwar al-Dhahab ametoa wito wa kuweko mshikamano baina ya Waislamu ili kuweza kuzima njama za utawala haramu wa Israel dhidi yao.
-
Israel yawafungia watoto zaidi wa Palestina huko Quds
Feb 24, 2016 11:03Waziri wa Palestina anayeshughulikia hali ya wafungwa walioko kwenye jela za utawala haramu wa Israel amesema leo kuwa watoto wasiopungua 60 wa Kipalestina wamewekwa chini ya vifungo vya nyumbani katika mji wa Quds.
-
Tahadhari kuhusu hali mabaya ya watu wa Ghaza
Feb 23, 2016 00:09Harakati za Kiislamu na kitaifa za Palestina zimetahadharidha kuhusu hali mbaya ya watu wa eneo la Ukanda wa Gaza kutokana na mzingiro wa kidhalimu wa utawala haramu wa Israel dhidi ya eneo hilo.
-
Israel yaiomba Ujerumaini iisaidie kuzungumza na HAMAS kuhusu kubadilishana mateka
Feb 17, 2016 11:41Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ameiomba Ujerumani iinasihi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ikubali kubadilishana mateka wa Kipalestina kwa viwiliwili vya wanajeshi wawili wa utawala wa Kizayuni vilivyoko mikononi mwa Hamas.
-
Misri yafunga tena kivuko cha Rafah
Feb 17, 2016 03:41Misri imefunga tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina walio chini ya mzingiro huko Ghaza.
-
Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kujali zaidi kadhia ya Palestina
Feb 15, 2016 11:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa ana matumaini kwamba, nchi za Kiislamu zitafikia maelewano kwa ajili ya kulipa umuhimu mkubwa zaidi suala asili la ulimwengu wa Kiislamu yaani kadhia ya kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Wanahabari Waislamu waungana na mwandishi mateka wa Mpalestina
Feb 13, 2016 22:26Jumuiya ya Waandishi Habari Waislamu imetangaza mshikamano wake na mwandishi habari mateka wa Palestina anayeshikiliwa katika korokoro za utawala ghasibu wa Israel, Muhammad al Qiq.
-
HAMAS: Iran ndiye muungaji mkono wa kweli wa muqawama na taifa la Palestina
Feb 13, 2016 04:42Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, hakuna nchi yoyote ya Kiarabu au ya Kiislamu ambayo hadi hivi sasa imeweza kuifikia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuunga mkono muqawama na taifa linalodhulumiwa la Palestina.
-
Israel yatiwa kiwewe na msimamo wa UN kuwatetea Wapalestina
Feb 09, 2016 11:24Utawala wa kizayuni wa Israel umetiwa kiwewe na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni ya Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuwatetea Wapalestina ambao ardhi zao zinakaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu.