Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Maandamano ya kuitetea Palestina yashuhudiwa Ulaya licha ya vizingiti

    Maandamano ya kuitetea Palestina yashuhudiwa Ulaya licha ya vizingiti

    May 26, 2024 09:48

    Miji na majiji makubwa ya Ulaya jana Jumamosi yalishuhudia maandamano ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, sanjari na kutaka kusitishwa mara moja vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya eneo hilo lililozingirwa.

  • Makundi ya Muqawama yatoa tamko kuhusu uamuzi wa nchi za Ulaya kuitambua nchi ya Palestina

    Makundi ya Muqawama yatoa tamko kuhusu uamuzi wa nchi za Ulaya kuitambua nchi ya Palestina

    May 24, 2024 06:50

    Makundi ya Muqawama ya Palestina yametoa mjibizo kwa utayarifu uliotangazwa na nchi kadhaa za Ulaya wa kuitambua nchi huru ya Palestina kwa kueleza kwamba hatua hiyo ni mabadiliko makubwa katika msimamo wa nchi mbalimbali duniani katika kuunga mkono piganio tukufu la taifa la Palestina.

  • Upinzani wa Marekani dhidi ya hatua ya nchi za Ulaya ya kulitambua taifa la Palestina

    Upinzani wa Marekani dhidi ya hatua ya nchi za Ulaya ya kulitambua taifa la Palestina

    May 24, 2024 04:25

    Siku ya Jumatano, Ikulu ya Marekani ailitoa taarifa ya kuunga mkono kwa pande zote utawala haramu Israel na kusema kuwa Rais Biden anaamini kwamba taifa la Palestina linapaswa kuanzishwa kupitia mazungumzo na si kutambuliwa kwa upande mmoja na baadhi ya nchi.

  • Waarabu wazipongeza nchi za Ulaya zilizolitambua taifa la Palestina

    Waarabu wazipongeza nchi za Ulaya zilizolitambua taifa la Palestina

    May 23, 2024 06:58

    Mataifa ya Kiarabu yamekaribisha hatua ya baadhi ya nchi za Ulaya ya kutangaza rasmi kulitambua taifa la Palestina.

  • Ansarullah: Shahidi Raisi aliitetea Palestina hadi siku za mwisho kabisa za uhai wake

    Ansarullah: Shahidi Raisi aliitetea Palestina hadi siku za mwisho kabisa za uhai wake

    May 23, 2024 04:15

    Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen Muhammad Abdussalam amesema, Shahidi Sayyid Ebrahim Raisi aliitetea Palestina hadi siku za mwisho kabisa za uhai wake.

  • Polisi wa Marekani wawapiga na kuwatia nguvuni watetezi wa Palestina walioadhimisha Siku ya Nakba

    Polisi wa Marekani wawapiga na kuwatia nguvuni watetezi wa Palestina walioadhimisha Siku ya Nakba

    May 19, 2024 07:45

    Askari polisi wa Marekani wamewapiga na kuwakamata watu kadhaa katika maandamano ya kuiunga mkono Palestina yaliyofanyika katika mji wa Brooklyn jimboni New York, ukiwa ni mwendelezo wa operesheni za kukandamiza na kuzima sauti zinazopinga vita dhidi ya Ghaza nchini Marekani.

  • "Kuna haja ya kuitetea Gaza katika Hija ya mwaka huu"

    May 17, 2024 03:40

    Rais wa Chuo cha Da'awa ya Kiislamu cha Lebanon amesema ibada ya Hija ya mwaka huu ina umuhimu wa kipekee wakati huu ambapo Wazayuni wanaendelea kumwaga damu za Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, "Kuna haja ya kuitetea Gaza katika Hija ya mwaka huu."

  • AFC yataka FIFA iifutie uanachama Israel kutokana na jinai zake Gaza

    AFC yataka FIFA iifutie uanachama Israel kutokana na jinai zake Gaza

    May 16, 2024 08:51

    Shirikisho la Soka Asia (AFC) limetangaza kuunga mkono ombi la Palestina la kulitaka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) liifutie uanachama Israel katika taasisi hiyo kubwa zaidi ya kandanda duniani, kutokana na utawala huo wa Kizayuni kutenda jinai kubwa dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Ireland kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina

    Ireland kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina

    May 16, 2024 03:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ireland amesema kuwa, mnamo siku chache zijazo, Dublin itaitambua rasmi nchi huru ya Palestina.

  • Maelfu ya Wapalestina waandamana katika kumbukumbu ya siku ya Nakba

    Maelfu ya Wapalestina waandamana katika kumbukumbu ya siku ya Nakba

    May 15, 2024 10:07

    Maelfu ya wananchi wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu wameandamana kwa mnasaba wa Siku ya Nakba ambayo inakumbusha uvamizi, mauaji ya kimbari, ukatili na jinai za Wazayuni katika ardhi za Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS