-
NAM yasisitiza ulazima wa kulindwa haki za watu wa Palestina
Jul 08, 2023 10:48Mawaziri wa mambo ya nje wa Vuguvugu la Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), wameeleza katika taarifa ya mwisho ya mkutano ulofanyika katika mji mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan, Baku, kwamba kuna haja ya kufanyika juhudi zaidi kimataifa za kutafuta njia ya ufumbuzi wa kiuadilifu utakaohakikisha Wapalestina wanarejeshewa haki zao.
-
NAM yatoa wito wa kufanywa juhudi zaidi kimataifa kuhakikisha Wapalestina wanarejeshewa haki zao
Jul 07, 2023 23:54Mawaziri wa mambo ya nje wa Vuguvugu la Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM, wameeleza katika taarifa ya mwisho ya kikao chao kilichofanyika katika mji mkuu wa Jamhuri ya Azerbaijan, Baku kwamba kuna haja ya kufanyika juhudi zaidi kimataifa za kutafuta njia ya ufumbuzi wa kiuadilifu utakaohakikisha Wapalestina wanarejeshewa haki zao.
-
Utawala wa Israel umeambulia patupu katika jinai zake dhidi ya Wapalestina huko Jenin
Jul 06, 2023 23:37Oparesheni ya kikatili ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina huko Jenin katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan imemalizika baada ya siku 2, na kwa mujibu wa Wazayuni, operesheni hiyo haijafanikiwa chochote.
-
Sekretarieti ya Intifadha ya Palestina: Muqawama wa Palestina unatoa vipigo vikali kwa adui Mzayuni
Jul 05, 2023 22:49Sekretarieti ya Kudumu ya Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina ya Bunge la Iran imetangaza katika taarifa yake kuwa: Hii leo muqawama wa Palestina umefikia kiwango cha juu cha ukomavu na kuimarika kiasi kwamba unaweza kutoa kipigo kwa adui Mzayuni popote pale na wakati wowote.
-
Jenerali Qaani: Vijana wa Palestina wametoa pigo kwa Wazayuni
Jul 05, 2023 07:17Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amewapongeza vijana wa Palestina kwa kupambana kishujaa na kupata ushindi mkabala wa Wazayuni katika mji wa Jenin, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Muqawama wawapongeza Wapalestina kwa ushindi mkubwa Jenin
Jul 05, 2023 06:34Makundi ya muqawama yamewapongeza wananchi wa Palestina kwa kupata ushindi mkubwa wa kufanikiwa kuzima uvamizi na mashambulizi ya jeshi katili la Israel dhidi ya Wapalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Makundi ya muqawama Palestina: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Jenin
Jul 04, 2023 03:46Makundi ya muqawama wa Palestina yameapa kuwa yatalipiza kisasi cha damu za Wapalestina waliouawa shahidi katika mashambulizi ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika mji wa Jenin, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
OIC:Jinai za Jenin ni mwendelezo wa ugaidi ulioratibiwa wa Israel/Baraza la Usalama linapaswa kuchukua hatua
Jul 04, 2023 01:01Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imelaani vikali jinai zinazotekelezwa na jeshi la utawala wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuzitaja kuwa ni mwendelezo wa ugaidi ulioratibiwa na utawala huo.
-
Iran: Mapatano ya amani na Israel hayawezi kukomesha ukatili wa utawala huo
Jul 04, 2023 00:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa mji wa Jenin, huko kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.
-
Mwakilishi wa UAE katika Umoja wa Mataifa: Israel inapasa kusitisha haraka ujenzi wa vitongoji
Jun 28, 2023 04:28Mwakilishi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala wa Kizayuni kusimamisha haraka iwezekanavyo ujenzi wa vitingoji vya walowezi na mashambulizi dhidi ya Wapalestina ili kutolitumbukiza eneo katika mivutano zaidi.