-
Jumanne Disemba 15, 2020
Dec 15, 2020 04:57Leo ni Jumanne tarehe 29 Mfunguo Saba Rabiuthani 1442 Hijria mwafaka na tarehe 15 Desemba 2020 Miladia.
-
Kukamatwa watu 150 katika maandamano ya Paris
Dec 13, 2020 05:36Mji wa Paris nchini Ufaransa umeshuhudia ghasia na maandamano mapya ya kupinga muswada wa usalama uliowasilishwa bungeni na serikali ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo, ambapo watu 150 wametiwa nguvuni katika maandamano hayo.
-
Waislamu waandamana Paris kulaani vitendo vya uchupaji mipaka
Oct 24, 2020 23:41Waislamu kadhaa wanaoishi nchini Ufaransa wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Paris lengo likiwa ni kulaani vitendo vya ghasia na uchupaji mipaka.
-
Jumapili tarehe 8 Machi 2020
Mar 07, 2020 23:13Leo ni Jumapili tarehe 13 Rajab, 1441 Hijiria sawa na tarehe 8 Machi 2020 Miladia.
-
Jumatatu tarehe 16 Disemba 2019
Dec 15, 2019 23:03Leo ni Jumatatu tarehe 19 Rabiuthani 1441 Hijria sawa na Disemba 16 mwaka 2019.
-
Watoto 700 wanalala katika barabara za mitaa ya Paris, Ufaransa
Nov 21, 2019 03:26Jumuiya 12 zinazojihusisha na watoto wasiokuwa na makazi nchini Ufaransa zimefichua kwamba, watoto wadogo 700 wanaishi pamoja na familia zao katika barabara za mitaa ya mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Dakta Zarif: Madola ya Ulaya yatekeleze kivitendo ahadi zao za JCPOA
Aug 24, 2019 07:53Waziri wa Mashauri yay Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo madola ya Ulaya yatatekeleza kivitendo ahadi zao za makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, basi Iran nayo iko tayari kuachana na hatua ilizochukua za kupunguza uwajibikaji wake kwa mujibu wa makubaliano hayo.
-
Ijumaa, Agosti 23, 2019
Aug 22, 2019 21:54Leo ni Ijumaa tarehe 21 Mfunguo Tatu Dhulhija 1440 Hijria sawa na Agosti 23 mwaka 2019 Milaadia.
-
Jumapili, 14 Julai, 2019
Jul 14, 2019 00:13Leo ni Jumapili tarehe 11 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1440 Hijria, inayosadifiana na tarehe 14 Julai 2019 Miladia.
-
Wanaharakati wa haki za binadamu wakusanyika mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia Paris kulaani jinai za Aal Saud
May 03, 2019 22:22Kundi la wanaharakati wa msuala ya haki za binadamu limekusanyika tena mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Paris Ufaransa na kulaani jinai ya hivi karibuni ya Aal Saud ya kuwanyonga raia 37 wa nchi hiyo.