-
Ukoloni, tangu mwanzo hadi leo (8)
Nov 12, 2024 07:23Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi. Podkasti ya "Ukoloni, tangu mwanzo hadi leo" mbali na kutoa maana ya fikra chafu ya ukoloni, inatoa pia historia na namna fikra hiyo ya kikatili ilivyosababisha maafa makubwa katika maeneo tofauti ya dunia. Podkasti hii inazungumzia mpya ukoloni katika aina zake mbalimbali.
-
Sayyid Hashem Safiyyuddin, Mjenga Hamasa ya Muqawama Itakayodumu Milele
Nov 06, 2024 09:06SalamuLlahi Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Sayyid Hashem Safiyyuddin.
-
Kuna tofauti kubwa baina ya Mayahudi na Wazayuni (PICHA)
Oct 03, 2024 11:14Katika kujibu swali linalosema kuwa, je, kuna tofauti baina ya Mayahudi na Wazayuni, tunapenda kusema kwamba, naam, kuna tofauti kubwa baina ya makundi hayo mawili.
-
Ukoloni, tangu mwanzo hadi leo (4)
Oct 03, 2024 10:52Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni katika Episodi ya Nne ya Podikasti tuliyoipa jina la Ukoloni Tangu Mwanzo hadi Leo. Podikasti hii inazungumzia historia na jinsi ilivyojitokea fikra hii ya ukoloni katika nukta tofauti duniani, sababu na madhara yake makubwa. Podikasti hii inazungumzia pia aina mbalimbali za ukoloni.
-
Podikasti ya Ujana Ulioharibiwa- Sehemu ya 8
Jul 18, 2024 09:09Sehemu hii ya nane ya Podikasti ya Ujana Ulioharibiwa (Stolen Youth) inaangazia vitendo vya mabavu na ubaguzi wa jeshi la Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Kipigo cha Iran kwa utawala wa Kizayuni wa Israel + Video
Apr 22, 2024 10:07Unadhani ni kitu gani kimelifanya shambulio la Iran dhidi ya Israel lionekane kuwa ni tukio kubwa? Kujibu suali hili, nukta ya kwanza na muhimu zaidi ni kwamba Iran imethibitisha kivitendo kuwa, ulinzi wa anga wa Israel si madhubuti...
-
Shambulio la utawala wa Kizayauni kwenye ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus + Video
Apr 13, 2024 07:13Video hii inazungumzia hatua hatari ya Israel ya kushambulia ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus Syria na matokeo yake.
-
Ulimwengu wa Kiarabu na kadhia ya Palestina
Mar 25, 2024 02:44Kwa miongo mingi, Waarabu wamelitambua suala la Palestina kuwa suala la Waarabu pekee, na kulifuatilia kwa taasubi kubwa, kwa uchache katika maneno na kaulimbiu zao; lakini je, Waarabu hao wako wapi leo?
-
Hivi ndivyo Israel inavyotangazwa kwenye vyombo vya habari vya Marekani + VIDEO
Feb 26, 2024 09:37Israel ina nafasi maalumu na ya kipekee katika vyombo vya habari vya Marekani; Vivyo hivyo katika masuala ya kisiasa ya Marekani; na zaidi ya dola lolote jingine, imepewa nafasi maalumu katika fikra na sera za serikali ya Washington.
-
Vita vya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen (2) + Video
Feb 19, 2024 18:08Tumeisikia Marekani ikiitangaza Harakati ya Wahouthi wa Yemen ya Ansarullah kuwa ni shirika la kigaidi, kwa sababu tu ya jitihada zake za kuzuia mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel.