-
Putin: Ndege iliyombeba kiongozi wa Wagner iliripuka kwa maguruneti yaliyokuwemo ndani yake
Oct 06, 2023 10:36Rais Vladimir Putin wa Russia amedokeza kuwa ajali ya ndege iliyomuua mkuu wa kikosi cha mamluki cha Wagner, Yevgeny Prigozhin ilisababishwa na mripuko wa maguruneti yaliyokuwemo ndani ya ndege hiyo.
-
Rais Putin: Uhusiano wa Russia na Iran ni 'mzuri mno'
Oct 05, 2023 13:10Rais Vladimir Putin wa Russia amesema uhusiano wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mzuri na wa kuridhisha.
-
Putin na Kim watilia mkazo kuwepo uhusiano wa karibu zaidi kati ya Russia na Korea Kaskazini
Aug 16, 2023 02:48Rais Vladimir Putin wa Russia na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un wameahidi kujenga ushirikiano wa karibu zaidi kati ya nchi zao mbili katika mawasiliano waliyofanya kwa barua kwa manasaba wa maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Ukombozi wa Korea Kaskazini.
-
Putin: Russia iko tayari kushirikiaina kibiashara na nchi za Kiislamu
May 15, 2023 10:48Rais wa Russia ametangaza utayarifu wa nchi hiyo wa kuwa na ushirikiano mkubwa wa kibiashara na kiutamaduni na nchi za Kiislamu.
-
Putin asema: Wamagharibi wanataka kuigawa Russia
May 09, 2023 10:42Rais wa Russia ametangaza kwamba ustaarabu wa dunia unakabiliwa na mabadiliko makubwa, na kwamba lengo la Magharibi katika kueneza propaganda chafu dhidi ya Russia ni kuigawa nchi hiyo.
-
Erdogan: Uhusiano wangu na Putin ni wa "ukweli na kuaminiana"; Macron "si mkweli"
Jan 31, 2023 11:26Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema, uhusiano wake na Rais Vladimir Putin wa Russia na kwa ujumla kati ya nchi hizo mbili ni wa "ukweli na wenye msingi wa kuaminiana" na akamtaja Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuwa "si mtu mkweli".
-
Moscow yatoa onyo baada ya Washington kutishia kumuua Rais wa Russia
Dec 27, 2022 07:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametoa indhari baada ya maafisa 'wasiojulikana' wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) kutoa vitisho vya kumuua Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo.
-
Putin: Nina uhakika wa asilimia 100 tutayateketeza makombora ya Marekani ya Patriot Ukraine
Dec 26, 2022 02:17Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuhusu uamuzi wa Marekani wa kutuma mitambo ya makombora aina ya Patriot nchini Ukraine, kwamba ana uhakika wa asilimia 100 vikosi vya jeshi la nchi yake vitayateketeza makombora hayo ya ulinzi wa anga ya Washington.
-
Rais Putin wa Russia kutohudhuria mkutano ujao wa G20
Nov 11, 2022 03:09Ikulu ya Rais wa Russia (Kremlin) imesema Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo hatoshiriki mkutano wa kundi la G20 unaotazamiwa kufanyika wiki ijayo mjini Bali nchini Indonesia.
-
Rais Putin: Kampuni kubwa 80 za Russia kwenda Iran wiki ijayo
Sep 16, 2022 04:07Rais Vladmir Putin wa Russia amesema Moscow imefanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa Iran inakua mwanachama kamili wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).