Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Onyo kuhusu Quds na kulegeza kamba Donald Trump

    Onyo kuhusu Quds na kulegeza kamba Donald Trump

    Jun 03, 2017 02:48

    Walimwengu wamezidi kukasirishwa na ukandamizaji unaoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mtakatifu wa Quds. Huku hayo yakiripotiwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa mwito wa kuitishwa Ijumaa ya ghadhabu dhidi ya utawala wa Kizayuni.

  • Jihadul-Islam, yauonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jihadul-Islam, yauonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel

    May 16, 2017 03:50

    Brigedia ya Quds tawi la harakati ya muqawama ya Jihadul-Islami ya Palestina sambamba na kuonyesha picha na video kuhusiana na mwendelezo wa siasa za sasa za utawala huo dhidi ya taifa la Palestina na Ukanda wa Gaza, imetoa indhari kali kwa utawala huo.

  • Wazayuni waendelea kujenga vitongoji vya Wazayuni katika ardhi za Wapalestina

    Wazayuni waendelea kujenga vitongoji vya Wazayuni katika ardhi za Wapalestina

    Apr 19, 2017 21:56

    Licha ya dunia nzima kulalamikia vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel za kupora ardhi za Wapalestina na ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni, lakini viongozi wa Israel wamepasisha mradi wa kujenga nyumba 212 za walowezi wa Kizayuni katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Baytul Muqaddas.

  • Hamas yalaani muswada wa sheria ya Israel wa kuzima adhana Quds

    Hamas yalaani muswada wa sheria ya Israel wa kuzima adhana Quds

    Mar 11, 2017 02:52

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekosoa vikali muswada wa sheria uliopasishwa hivi karibuni na Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel, unaopania kupiga marufuku kusomwa adhana katika misikiti ya Quds tukufu.

  • Haaretz: Balozi mtarajiwa wa Marekani huko Israel amechangia kunyakuliwa ardhi za Wapalestina

    Haaretz: Balozi mtarajiwa wa Marekani huko Israel amechangia kunyakuliwa ardhi za Wapalestina

    Mar 07, 2017 12:04

    Gazeti la utawala wa Kizayuni wa Israel la Haaretz limefichua kuwa balozi mtarajiwa wa Marekani huko Israel, David Friedman kwa miaka mingi amekuwa akitoa kiwango kikubwa cha fedha kwa ajili ya kunyakua ardhi za Waislamu katika eneo al Quds (Jerusalem) na kuwapa makazi huko Wazayuni.

  • Israel yaendeleza jinai zake dhidi ya raia wanaodhulumiwa wa Wapalestina

    Israel yaendeleza jinai zake dhidi ya raia wanaodhulumiwa wa Wapalestina

    Mar 07, 2017 00:59

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umewapa amri wanajeshi wake wavamie na kuvunja makumi ya nyumba za wananchi wa Palestina katika kijiji cha Khan al Ahmar, mashariki mwa mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • Morocco, mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu

    Morocco, mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu

    Feb 15, 2017 12:28

    Mkutano wa saba mkuu wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Ulimwengu wa Kiislamu katika kulinda utambulisho wa Kiislamu wa "Quds Tukufu" umefanyika nchini Morocco.

  • Sheikh Ikrima Sabri: Kuhamishiwa ubalozi wa Marekani Baytul Muqaddas ni kutangaza vita dhidi ya Waislamu

    Sheikh Ikrima Sabri: Kuhamishiwa ubalozi wa Marekani Baytul Muqaddas ni kutangaza vita dhidi ya Waislamu

    Jan 21, 2017 03:30

    Khatibu wa Masjidul Aqswa amesenma kuwa, kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv na kupelekwa Baytul Muqaddas kutakuwa ni sawa na kutangaza vita sio tu dhidi ya Wapalestina bali dhidi ya Waarabu na Waislamu wote.

  • Ufaransa yaionya Marekani juu ya kuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds

    Ufaransa yaionya Marekani juu ya kuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds

    Jan 16, 2017 00:20

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ufaransa amesema kuwa, pendekezo la Donald Trump Rais mteule wa Marekani la kuhamishia ubalozi wa Marekani katika mji wa Baytul Muqaddas ni la kichochezi.

  • Kuhamishiwa Quds ubalozi wa US, mstari mwekundu kwa Palestina

    Kuhamishiwa Quds ubalozi wa US, mstari mwekundu kwa Palestina

    Jan 07, 2017 03:42

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amemuonya Rais mteule wa Marekani Donald Trump kuhusu pendekezo lake la kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi Quds Tukufu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS