-
Kwa nini Putin anataka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani?
Sep 14, 2025 02:41Putin ametaka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani.
-
Rais Pezeshkian asisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa Iran na Madagascar
Aug 29, 2025 03:16Rais Masoud Pezeshkian amewataka mabalozi wapya walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu katika nchi za Madagascar na Croatia kuimarisha uhusiano wa pande mbili baina ya Iran na nchi hizi mbili.
-
Uchunguzi: Akthari ya Waisrael wanaamini hakuna Mpalestina yeyote Ghaza 'asiye na hatia'
Aug 28, 2025 06:07Uchunguzi wa maoni uliofanywa na shirika moja katika utawala wa kizayuni wa Israel umefichua kuwa idadi kubwa ya Wayahudi wa Israel wanaamini kwamba hakuna watu wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza.
-
Mkuu wa Jeshi: Iran itatoa 'jibu kali la kusagasaga zaidi' kwa uchokozi wowote mpya wa adui
Aug 22, 2025 11:50Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu Iran Meja Jenerali Amir Hatami amesisitiza kuwa Vikosi vya Ulinzi vimejiweka tayari kutoa jibu kwa wavamizi ambalo ni la "kusagasaga zaidi" kuliko lile lililoonekana wakati wa uchokozi uliofanywa na utawala haramu wa kizayuni wa Israel na Marekani dhidi ya taifa hili.
-
Ni yapi matokeo ya mkutano wenye utata wa Trump na Putin?
Aug 16, 2025 11:27Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu na uvumi kuhusu mkutano kati ya Marais Donald Trump wa Marekani na Vladimir Putin wa Russia kuhusu vita vya Ukraine, mkutano huo hatimaye ulifanyika Ijumaa, Agosti 15 huko Alaska.
-
Je, Afrika Kusini inafanya nini kukabiliana na ushuru mpya wa kibiashara wa Marekani?
Aug 07, 2025 08:19Wizara ya Biashara ya Afrika Kusini imetangaza kuwa imechukua hatua kadaa mpya za kukabiliana na ushuru mpya wa kibiashara wa Marekani.
-
Je, ni hatua gani ya hivi majuzi ya rais wa Colombia dhidi ya Israel?
Jul 30, 2025 02:41Rais wa Colombia Gustavo Petro hivi karibuni alitoa amri ya kuzuia mauzo ya makaa ya mawe ya nchi hiyo kwa utawala wa Israel.
-
Rais wa Iran: Ni lazima tuungane dhidi ya uchokozi wa utawala wa kijinai wa Israel
Jun 16, 2025 11:21Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu wanahitaji umoja na mshikamano wakati huu kuliko wakati mwingine wowote ule, na lazima washikane mikono na kusimama kidete kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Israel unaofanya mauaji ya kimbari.
-
Rais wa Iran amfuta kazi Makamu wake kwa 'safari ya ubadhirifu'
Apr 05, 2025 09:37Rais Masoud Pezeshkian amempiga kalamu nyekundu Makamu wake katika Masuala ya Bunge kufuatia safari ya kibinafsi ya mwanasiasa huyo wakati wa sherehe za mwaka mpya wa Kiirani (Nowruz), iliyojaa ubadhirifu.
-
Netumbo Nandi aapishwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia
Mar 21, 2025 14:42Netumbo Nandi Ndaitwah ameapishwa leo Ijumaa kuwa Rais wa kwanza mwanamke wa Namibia, baada ya kushinda uchaguzi mwaka jana.