-
Raisi aitaka jamii ya kimataifa isimamishe jinai za Israel Ukanda Gaza
Oct 11, 2023 23:03Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameikumbusha jamii ya kimataifa kuwa ina wajibu wa kukomesha mgogoro katika wa Ukanda wa Gaza, ambapo Wapalestina wa eneo hilo wanakabililiwa na kila aina ya jinai kutoka kwa Wazayuni.
-
Rais Macky Sall wa Senegal avunja serikali yake
Oct 07, 2023 03:55Rais Macky Sall wa Senegal amesaini dikrii ya kuivunja serikali yake, miezi michache kabla ya kumalizika hatamu yake ya uongozi.
-
Raisi: Iran haina mpango wa kumiliki silaha za nyuklia
Sep 24, 2023 23:42Rais wa Iran amepuuzilia mbali madai ya madola ya Magharibi kwamba Jamhuri ya Kiislamu inataka kuunda silaha za nyuklia.
-
Guterres apongeza azma ya Iran kutuma vikosi vyake kulinda amani duniani
Sep 23, 2023 04:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha kwa mikono miwili pendekezo la Rais Ebrahim Raisi wa Iran la kuwa tayari wanajeshi wa Jamhuri ya Kiislamu kujiunga na vikosi vya kulinda amani kote duniani.
-
Raisi: Mradi wa kuufanya ulimwengu uwe wa Kimarekani umefeli
Sep 19, 2023 23:51Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema mpango wa Marekani wa kuitwisha dunia sera na misimamo yake umefeli na kugonga mwamba.
-
Raisi: Umma wa Kiislamu ulioungana, ni kizuizi kwa ubeberu wa dunia
Aug 31, 2023 23:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ulimwengu wa Kiislamu ambao una umoja na mshikamano ndicho kizingiti kikubwa zaidi kwa ubeberu wa dunia.
-
Raisi: Maadui wameshindwa kuwakatisha tamaa wananchi wa Iran
Aug 29, 2023 08:31Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema adui amefeli katika njama zake za kuitenga Jamhuri ya Kiislamu na dunia, na pia kuwakatisha tamaa wananchi wa nchi hii.
-
Rais wa Iran awasili Afrika Kusini kushiriki mkutano wa kilele wa BRICS
Aug 24, 2023 04:23Rais Ebrahim Raisi wa Iran amewasili Pretoria, mji mkuu wa kiutawala wa Afrika Kusini, alikoenda kushiriki mkutano wa kilele wa Jumuiya ya BRICS.
-
Raisi: BRICS inayaleta pamoja mataifa huru yanayopinga ubeberu
Aug 23, 2023 23:30Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Jumuiya ya BRICS ni nguvu mpya inayoinukia kwa kasi duniani, na ambayo imefanikiwa kuyaleta pamoja mataifa huru yanayotaka kuwa na ushirikiano wa kiuchumi na kukabiliana na ubeberu.
-
Wananchi wa Zimbabwe wapiga kura kuchagua rais na wabunge
Aug 23, 2023 06:50Wananchi wa Zimbabwe waliotimiza masharti ya kupiga kura, mapema leo Jumatano wamelekea katika vituo vya kupigia kura kushiriki uchaguzi utakaoamua iwapo Rais wa sasa Emmerson Mnangagwa atashinda muhula wake wa pili na wa mwisho au la.