-
Rais wa Guinea-Bissau: Mke wangu ameniasa nisigombee muhula wa pili
Sep 13, 2024 03:05Katika hatua ambayo imewashangaza wengi, Rais wa Guinea-Bissau Umaro Cissoko Embalo alisema jana Alkhamisi kwamba hatawania muhula wa pili katika uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika Novemba.
-
Rais wa Senegal aapa kukabiliana na magendo ya binadamu
Sep 13, 2024 03:05Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amesema kuwa serikali yake itafanya kila liwezekanalo kukabiliana na safari hatarishi za wahamiaji baada ya mkasa wa karibuni kuua makumi ya watu.
-
Pezeshkian: Umoja ndio njia bora ya kukabiliana na matatizo ya kiuchumi
Sep 01, 2024 07:22Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesisitiza haja ya kulinda umoja wa kitaifa miongoni mwa mirengo na makundi mbalimbali ya kisiasa ili kuwatumikia vyema zaidi wananchi.
-
Pezeshkian: Waislamu lazima waungane kukomesha jinai za Israel
Aug 27, 2024 02:35Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuna haja kwa mataifa ya Waislamu pamoja na nchi nyingine duniani kuungana na kuwa na sauti moja katika kuushinikiza utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake kukomesha mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Pezeshkian: Kosa 'kubwa' la Israel la kumuua kigaidi Haniyah litajibiwa
Aug 05, 2024 03:24Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumuua kigaidi Ismail Haniyah, Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ni 'kosa kubwa' ambalo halitapita hivi hivi bila kupewa majibu.
-
Kiongozi Muadhamu amuidhinisha rasmi Dkt Pezeshkian kuwa Rais wa Iran
Jul 28, 2024 07:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemuidhinisha rasmi Masoud Pezeshkian kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika hafla iliyohudhuriwa na maafisa wa kitaifa na kijeshi hapa Tehran.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Rais mteule wa Iran ametokana na kura za wananchi
Jul 26, 2024 12:57Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, rais mteule wa Iran amechaguliwa kwa kura za wananchi.
-
Pezeshkian: Wanaoiwekea vikwazo Iran waliwapa maadui silaha za kemikali
Jul 22, 2024 11:28Rais mteule wa Iran ameyakosoa vikali madola ambayo yameiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu akisisitiza kuwa, mataifa hayo yana historia nyeusi kwa kupeana silaha zilizotumiwa dhidi ya taifa hili katika miaka ya 1980.
-
Kiongozi Muadhamu: Kufanikiwa Rais mpya wa Iran, ni mafanikio kwetu sote
Jul 21, 2024 11:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameiasa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) idumishe maingiliano yenye kujenga na uongozi wa Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu, Masoud Pezeshkian na kusema kuwa, mafanikio ya Rais mpya wa Iran ya Kiislamu ni mafanikio ya taifa hili zima.
-
Rais mpya wa Iran kuapishwa Julai 30
Jul 11, 2024 02:54Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian anatazamiwa kula kiapo cha kulitumikia taifa Julai 30 mwaka huu.