-
Viongozi wa dunia wamtumia salamu za pongezi Rais mteule wa Iran
Jul 06, 2024 11:22Marais na viongozi wa nchi mbali mbali duniani wameendelea kutuma jumbe na salamu za pongezi wakimpongeza Rais mteule wa Iran, Massoud Pezeshkian kwa kuibuka na ushindi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais uliofanyika ndani na nje ya Iran jana Ijumaa.
-
Ghazouani aongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais Mauritania
Jun 30, 2024 06:56Rais Mohamed Ould Cheikh Ghazouani wa Mauritania yupo kifua mbele huku ujumlishaji wa matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika jana Jumamosi ukiendelea.
-
Qaani: Raisi, Abdollahian walithibitisha kuwa Iran inaweza kuikabili Marekani
Jun 28, 2024 03:22Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesifu na kupongeza sifa za kipekee walizojipambanua nazo Shahidi Rais Sayyid Ebrahim Rais na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian, kwa kuiunga mkono kambi ya muqawama na kukabiliana na ubeberu wa Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu: Ushiriki mkubwa katika uchaguzi ni fahari kwa Iran, kiwewe kwa maadui
Jun 25, 2024 13:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema ushiriki mkubwa zaidi katika uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati unatazamiwa kufanyika Juni 28, utalipa fahari taifa la Iran na kuwaghadhabisha maadui wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Kushadidi mivutano ya kijeshi baina ya Russia na Marekani
Jun 24, 2024 03:29Mvutano wa kijeshi na kiusalama kati ya Russia na Marekani umeongezeka kutokana na hatua za kiuhasama za Washington dhidi ya Moscow, hasa baada ya Washington kuiruhusu Ukraine kushambulia ardhi ya Russia kwa kutumia silaha za Marekani.
-
Jalili: Sera ya mashinikizo ya juu ya US ilifeli katika urais wa Shahidi Raisi
Jun 13, 2024 03:06Mgombea wa uchaguzi wa rais nchini Iran amesema marehemu Shahidi Rais Ebrahim Raisi alifanikiwa kusambaratisha sera ya mashinikizo ya juu zaidi ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Mgombea wa urais Iran: Waislamu tuungane kuitetea Gaza
Jun 12, 2024 11:14Mmoja wa wagombea wa urais nchini Iran ametoa mwito kwa Waislamu kuwa na umoja na mshikamano katika kulitetea taifa madhulumu la Palestina, hasa wakazi wa Ukanda wa Gaza wanaokabiliwa na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel tokea Oktoba mwaka jana 2023.
-
Iran yatangaza orodha ya waliodhinishwa kugombea urais Juni 28
Jun 10, 2024 03:23Makao Makuu ya Uchaguzi katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran yametangaza orodha ya mwisho ya viongozi waliodhinishwa kugombea uchaguzi wa mapema wa duru ya 14 ya urais wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Usajili wa wanaotaka kugombea urais Iran wamalizika, kampeni kuanza Juni 12
Jun 03, 2024 11:30Shughuli ya kujiandikisha viongozi wanaotaka kugombea uchaguzi wa mapema wa duru ya 14 ya urais wa Jamhuri ya Kiislamu inamalizika jioni ya leo Juni 3.
-
Erdogan: Netanyahu, mwenye kiu ya damu sharti akomeshwe
Jun 03, 2024 11:27Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki kwa mara nyingine amemshambulia vikali kwa maneno Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu na kumtaja kama mtu mwenye kiu ya kumwaga na kufyonza damu.