-
Wanawake waandamana Comoro kupinga ushindi wa Rais Azali
Mar 28, 2019 10:37Makumi ya wanawake katika visiwa vya Comoro wamefanya maandamano hii leo kupinga ushindi wa Rais Azali Assoumani katika uchaguzi wa rais wa hivi karibuni.
-
Wapinzani nchini Misri wakosoa azma ya kuondoa kikomo cha urais
Mar 28, 2019 00:15Muungano wa upinzani nchini Misri umekosoa vikali mpango wa kuondoa kikomo cha muhula wa rais, hatua ambayo huenda ikamruhusu Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo kugombea zaidi ya mihula miwili iliyoruhusiwa na katiba.
-
Dunia yaendelea kumpinga Trump kuhusu miinuko ya Golan ya Syria
Mar 26, 2019 10:03Viongozi mbalimbali wa dunia wameendelea kutoa radiamali kali ya kupinga tangazo la urasimishaji la Rais Donald Trump wa Marekani kwa miinuko ya Golan ya Syia kwamba ni milki ya utawala haramu wa Kizayuni Israel.
-
Wanafunzi waliochora picha ya kumdhihaki Rais wa Burundi washitakiwa
Mar 21, 2019 11:32Wanafunzi watatu wa kike wamefunguliwa mashitaka ya kumdhihaki Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, na huenda wakahukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano jela.
-
Rais wa Syria akosoa undumakuwili wa Wamagharibi katika vita dhidi ya ugaidi
Mar 20, 2019 04:13Rais wa Syria Bashar al-Assad amekosoa vikali sera ya undumakuwili ya baadhi ya nchi katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Maafisa wa chama tawala Algeria wajitenga na Rais Bouteflika
Mar 16, 2019 01:12Maafisa waandamizi wa chama tawala nchini Algeria cha FNL wamemtaka Rais Abdelaziz Bouteflika wa nchi hiyo kuchukua hatua ya 'kihistoria', hatua nyingine ambayo inaashiria kuwa chama hicho kimeendelea kujiweka mbali na Bouteflika.
-
Rais Felix Tshisekedi wa DRC awaachia huru mamia ya wafungwa wa kisiasa
Mar 14, 2019 10:35Rais mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi amesaini dikrii ya kuwaachia huru mamia ya wafungwa wa kisiasa.
-
Rais Bashar al-Assad: Vikwazo vya kiuchumi vya Marekani ni njia mpya ya vita dhidi ya Syria
Mar 11, 2019 04:46Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, vita dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu vimechukua mkondo mpya ambapo sasa vimeelekezwa katika mzingiro na vita vya kiuchumi.
-
Rais Bouteflika kurejea nchini Algeria leo, maandamano yachachamaa
Mar 10, 2019 10:51Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria anatazamiwa kurejea katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika leo Jumapili, baada ya kuwa nje ya nchi kwa muda wa wiki mbili kwa ajili ya matibabu.
-
Bouthaina Shaaban: Chanzo cha ugaidi katika eneo ni utawala wa Kizayuni
Mar 10, 2019 10:42Mshauri wa Masuala ya Kisiasa na Habari wa Rais wa Syria amesema kuwa chanzo cha ugaidi huko Syria, Yemen, Iraq na Libya ni utawala wa Kizayuni.